Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jini mafuta...alisikika akisema mmiliki mmoja wa Vitz!Alafu ukarudishwa nyumbani na gari ya bi harusi iliyopambwa. Walisemaje nilipokushusha pale?
Nilijitahidi kuendesha taratibu yale maua yasipepee [emoji38] japo uvumilivu ulinishinda baadae
Barabarani walijua nakupeleka harusini
View attachment 1972266
Yeah ni typo inaeleweka. Singida ntaweka kituo soonHapo nilielewa Singida-Mwanza
Ee bana ndio, naona unazijua XV na GT utofauti wake kwenye taa za nyuma.Mkuu hiyo ni 350XV?
Mwanamke anahitaji vitu viwili anenepe: chakula kizuri na kupendwa vizuri, apate amani ya moyo. Chagua kimoja nikupatie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio namwambia kwamba nikenenepa hadi kichwa...
Anasema niongeze msosi ili ninenepe kwa sababu aliona nilivyo modo na Kiwango changu cha kula.
Maalim Saint Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama shehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwombe njia sasa umpite, anabana utafikiri umemuomba uhaiJini mafuta...alisikika akisema mmiliki mmoja wa Vitz!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke anahitaji vitu viwili anenepe: chakula kizuri na kupendwa vizuri, apate amani ya moyo. Chagua kimoja nikupatie.
Ustaaadh kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]Maalim Saint Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha mimi huwa siyo mpenzi sana wa sedan ila kuna sedan zingine utazielewa tu bila kupenda! Binafsi kwa upande wa mjep naona Fuga, Crown, Impreza wamejitahidi sana!Ee bana ndio, naona unazijua XV na GT utofauti wake kwenye taa za nyuma.
Sijaona bado 450 mjini. Ila kama watu wanasukuma majesta I'm sure wapo wababe wanaosukuma 450XV/GT [emoji1787][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3]Duh kinda sexy
You deserve a crown mkuu👏👏👏👏👏Kwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.
Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna zingine hapo haxipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu View attachment 1972621View attachment 1972622View attachment 1972623
Aise. Hats off bro.Kwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.
Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna zingine hapo haxipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu View attachment 1972621View attachment 1972622View attachment 1972623
Wapo watu humu wanagonga route ile mbaya, hapo mimi nasubiri tu.You deserve a crown mkuu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hizi ni za barabara tu au na ndege?!Kwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.
Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna zingine hapo hazipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu View attachment 1972621View attachment 1972622View attachment 1972623
Mbeya ukiondoa jengo la NHIF hakuna ghorofa lingine lenye lift[emoji16][emoji16][emoji23]Jumapili baada ya ibada [emoji846][emoji846][emoji846]