Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yes

Dar - Singida 670-690Km

Dar - Mwanza 450 - 460km

(Kutegemea na ukipoanzia safari na utakapoishia)

Singida kuna bata sana!

Kuna lake views na mengine yote, hata ukiamka saa tano asubuhi kabla ya jua kuzama utakuwa Mwanza.

Ukitokea Dar, Singida utaingia mapemaaa na kujuwa mazingira ya kupumzika.
Singida kuna raha yake. Nilikuwa natulia hapo ila weekend naenda pigia mwanza hiyo nafanya kazi jumatatu hadi jumatano. alahmisi asubuhi naondoka saa nne nipo mwanza nakupa bata hadi jumapili mchana, jioni naondoka kurudi kazini singida 😀😀😀😀😀 mitaa yangu ilikuwa regency pale .. siku ingine Rode matoto ya chuo cha utumishi na TIA yanaajaaa yanakuja changamsha nakapanda kale ka mji mda wowote unachapa mwendo Arusha au Dom.. sema sio ka mji kakupiga matukio dk sifuri umejulika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio namwambia kwamba nikenenepa hadi kichwa...
Anasema niongeze msosi ili ninenepe kwa sababu aliona nilivyo modo na Kiwango changu cha kula.
mamodo huwa mna vitako amazing 🤨🤨🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Kama shehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Matusi haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na sisi madera siachi,navaa bila kujali tumenenepa au tumekonda[emoji38][emoji38]
Tukikonda tunafunga na mkanda kiunoni ili kujitofautisha na mashehe jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom