JBourne59
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 946
- 8,640
Mkuu gawa hadi Singida, hutojuta, then Singidaa - MwanzaHii trip labda niigawe mara mbili.
Phase 1: Dar-dom
Phase 2: Dom-Mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu gawa hadi Singida, hutojuta, then Singidaa - MwanzaHii trip labda niigawe mara mbili.
Phase 1: Dar-dom
Phase 2: Dom-Mwanza
Lete chuma hicho barabarani kitolewe jasho mkuuUvumilivu unanishinda! Nilitaka nisitoke hadi December
Alafu ukarudishwa nyumbani na gari ya bi harusi iliyopambwa. Walisemaje nilipokushusha pale?[emoji38][emoji38][emoji38]
Mwambie tulipita kupamba gari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]Alafu ukarudishwa nyumbani na gari ya bi harusi iliyopambwa. Walisemaje nilipokushusha pale?
Nilijitahidi kuendesha taratibu yale maua yasipepee [emoji38] japo uvumilivu ulinishinda baadae
Barabarani walijua nakupeleka harusini
View attachment 1972266
Haa kumbe hukula tena? Palikuwa mabibo pale. Embu jenga appetite ule kama mwenzio, si ulikaona kamwili kadogo ila tako mashallah. Piga menu ugeuze shingo za watu mjini.Dah mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi hicho sielewi natoka wapi napenda wapi.
Unakumbuka nikawa nakuambia ukiniacha hapa napotea [emoji38][emoji38][emoji38].
Nilikuwa na siku 3 tu Dar yaani ndio ilikuwa mara ya kwanza kutoka nyumbani..Hata mbezi nilikuwa sipajui [emoji23][emoji23]
Basi nikiwa napita hapo Ubungo,nikiona hilo jengo nacheeka halafu nakukumbuka.
Hivi tulipita wapi pale kula kuku?[emoji39]
Baba mwendo wako[emoji38][emoji119],na yale maua kwenye gari [emoji23]sisy alibaki anatabasamu...
Nikampa na yule kuku[emoji23]
YesSounds good
Nitaiweka kipaumbele hiiYes
Dar - Singida 670-690Km
Dar - Mwanza 450 - 460km
(Kutegemea na ukipoanzia safari na utakapoishia)
Singida kuna bata sana!
Kuna lake views na mengine yote, hata ukiamka saa tano asubuhi kabla ya jua kuzama utakuwa Mwanza.
Ukitokea Dar, Singida utaingia mapemaaa na kujuwa mazingira ya kupumzika.
Kale kanafukia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Haa kumbe hukula tena? Palikuwa mabibo pale. Embu jenga appetite ule kama mwenzio, si ulikaona kamwili kadogo ila tako mashallah. Piga menu ugeuze shingo za watu mjini.
Atakuwepo.Huyo mwenzie atakuwepo?
Dar _ mwanza km 1200 na Dar _ Mbeya km 900Hivi Dar Mbeya na Dar Mwanza /Arusha Wapi mbali?
Kumbe Mwanza ni mbali zaidii.
InterestingYes
Dar - Singida 670-690Km
Dar - Mwanza 450 - 460km
(Kutegemea na ukipoanzia safari na utakapoishia)
Singida kuna bata sana!
Kuna lake views na mengine yote, hata ukiamka saa tano asubuhi kabla ya jua kuzama utakuwa Mwanza.
Ukitokea Dar, Singida utaingia mapemaaa na kujuwa mazingira ya kupumzika.
Huyo ni unnamed constant, yupo. Nkipiga naye trip anaomba akae nyuma ili asione mwendo.Huyo mwenzie atakuwepo?
Ulimkimbiza mno ile siku[emoji38]Huyo ni unnamed constant, yupo. Nkipiga naye trip anaomba akae nyuma ili asione mwendo.
Usiku wa kuamkia ile siku tulitoka dodoma saa 6 usiku tukafika dar saa 11. Then siku nzima trip za town. Alikuwa na haki ya kuwa mchovu.Ulimkimbiza mno ile siku[emoji38]
Alikuwa analalamika kuwa amechoka Sana.
Alisema.Usiku wa kuamkia ile siku tulitoka dodoma saa 6 usiku tukafika dar saa 11. Then siku nzima trip za town. Alikuwa na haki ya kuwa mchovu.
Chief, kweli wote walitoka salama [emoji15][emoji2297]Kwa mawazo yangu huyu aliovateki akakutana uso kwa uso na Ractis, bus nyuma ya Ractis likashindwa kusimama ghafla likakandamiza Ractis....habari za juu ni kwamba hamna mtu aliepoteza maisha.