Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
tunao angaika ni wenye IST na ndio gari zetu za kwanza 😀😀😀Mwenye Disco 3/4 au LC200 V8 hawezi kuhangaika kubandika sticker. Vyovyote ilivyo ina hadhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunao angaika ni wenye IST na ndio gari zetu za kwanza 😀😀😀Mwenye Disco 3/4 au LC200 V8 hawezi kuhangaika kubandika sticker. Vyovyote ilivyo ina hadhi.
Mwanangu upigwe hii mande halafu ukatoka mzima dah ni jambo la kushukuru kila siku kila saaka Ractis wamekapiga mande mbaya sana, kama wazima jambo jema ila wanakula drip mda huu
Nimesoma tako umeahamisha magoli 🙄🙄🙄Haa kumbe hukula tena? Palikuwa mabibo pale. Embu jenga appetite ule kama mwenzio, si ulikaona kamwili kadogo ila tako mashallah. Piga menu ugeuze shingo za watu mjini.
Jambo la kushuru Mungu. Mungu ashukuriwe katika maisha yakoMwanangu hii mande halafu nikatoka mzima dah ni jambo la kushukuru kila siku
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo ni 350XV?Alafu ukarudishwa nyumbani na gari ya bi harusi iliyopambwa. Walisemaje nilipokushusha pale?
Nilijitahidi kuendesha taratibu yale maua yasipepee [emoji38] japo uvumilivu ulinishinda baadae
Barabarani walijua nakupeleka harusini
View attachment 1972266
Singida kuna raha yake. Nilikuwa natulia hapo ila weekend naenda pigia mwanza hiyo nafanya kazi jumatatu hadi jumatano. alahmisi asubuhi naondoka saa nne nipo mwanza nakupa bata hadi jumapili mchana, jioni naondoka kurudi kazini singida 😀😀😀😀😀 mitaa yangu ilikuwa regency pale .. siku ingine Rode matoto ya chuo cha utumishi na TIA yanaajaaa yanakuja changamsha nakapanda kale ka mji mda wowote unachapa mwendo Arusha au Dom.. sema sio ka mji kakupiga matukio dk sifuri umejulikaYes
Dar - Singida 670-690Km
Dar - Mwanza 450 - 460km
(Kutegemea na ukipoanzia safari na utakapoishia)
Singida kuna bata sana!
Kuna lake views na mengine yote, hata ukiamka saa tano asubuhi kabla ya jua kuzama utakuwa Mwanza.
Ukitokea Dar, Singida utaingia mapemaaa na kujuwa mazingira ya kupumzika.
anazungumzia Tako wewe unazungumzia kichwa tenaaa☺️☺️☺️Kale kanafukia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yah,nilikaona.. kana mwili mzuri.
Siwezi kula sana ISO,,halafu kipindi hicho nilikuwa nimekonda sana stress.
Siku hizi nimenenepa hadi kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie mkuu 🥸🥸Mkuu hiyo ni 350XV?
Haha nipo Mkuu vipiNiambie mkuu 🥸🥸
Poa mkuu. Nipo na mie nakusabahi tu mkuuHaha nipo Mkuu vipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anazungumzia Tako wewe unazungumzia kichwa tenaaa[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
mamodo huwa mna vitako amazing 🤨🤨🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio namwambia kwamba nikenenepa hadi kichwa...
Anasema niongeze msosi ili ninenepe kwa sababu aliona nilivyo modo na Kiwango changu cha kula.
Tukikonda sana vinapotea kabisa .mamodo huwa mna vitako amazing [emoji2955][emoji2955][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ndio vizuri sasa 👨🏿🦳👨🏿🦳👨🏿🦳👨🏿🦳Tukikonda sana vinapotea kabisa .
Na wengine ndio tukivaa na madera juuu basi ndio kabisa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ndio vizuri sasa [emoji2572][emoji2572][emoji2572][emoji2572]
Pamoja MkuuPoa mkuu. Nipo na mie nakusabahi tu mkuu
Kama mtu anataka mbio hizi Discovery siyo mahala pake.Discover 3 huwa ni 2.7TDV6 ILA disco 4 hiw ni 3.0TDV6 3 iko slow kiaina
Utani pembeni ulikuwemo kwenye hio ajali?!!Mwanangu hii mande halafu nikatoka mzima dah ni jambo la kushukuru kila siku
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kama shehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]