Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Basi siendi tenaMbeya ukiondoa jengo la NHIF hakuna ghorofa lingine lenye lift[emoji16][emoji16][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi siendi tenaMbeya ukiondoa jengo la NHIF hakuna ghorofa lingine lenye lift[emoji16][emoji16][emoji23]
Uko sawa sawa kbs mzee mwenzangu, me mara nyingi nimefanya ivyo na nikingurumisha mashine pale sgd saa 1ucku bas 7 ucku nipo hotelin Mwanza.Mkuu gawa hadi Singida, hutojuta, then Singidaa - Mwanza
Kula like afu kula double mkuuKwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.
Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna zingine hapo hazipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu View attachment 1972621View attachment 1972622View attachment 1972623
Barabara tu, angekwea pipa pangekuwa na icon kilomita za ndege.Hizi ni za barabara tu au na ndege?!
Hizo sio za mwezi huu tu. Hizo ni za all time, na ndege ikiwemo. Za barabara tu ni za mwezi mmoja tu chini ya Your September Places na ndio inaonyesha kilometer za mwezi husika na hizo kilometer zimefikiwaje, barabara / baiskeli / ndege.Nilipoona 4 different countries ndio nikafikiria ndege. Ila 7k miles ni average yangu kwenye gari mwaka mzima.
Yeye kapiga hizo kwa barabara Jan - September.Nilipoona 4 different countries ndio nikafikiria ndege. Ila 7k miles ni average yangu kwenye gari mwaka mzima.
Mkuu acha basi kuidharau Mbeya[emoji38][emoji38]Mbeya ukiondoa jengo la NHIF hakuna ghorofa lingine lenye lift[emoji16][emoji16][emoji23]
Kaka yangu Holy Man nadhani atakuwa na kms za kumwaga.Kwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.
Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna zingine hapo hazipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu View attachment 1972621View attachment 1972622View attachment 1972623
Huyu mtu kafungua na hospital?Mkuu acha basi kuidharau Mbeya[emoji38][emoji38]
Maranatha hospital umefika?View attachment 1972837
Kitambo sana,ina miaka kadhaa sasa.Huyu mtu kafungua na hospital?
Kuna aina mbili hapo na ni kuanzia July had September 2021; January - June na October hazipo hapoHizi ni za barabara tu au na ndege?!
Kumbuka hiyo ni September pekee kama unaangalia kwenye icon. Nadhani za ndege haziesabiwiBarabara tu, angekwea pipa pangekuwa na icon kilomita za ndege.
Hiyo ni mepiga ndani ya miezi , itatu. Updatebimeanzi July hiyoNilipoona 4 different countries ndio nikafikiria ndege. Ila 7k miles ni average yangu kwenye gari mwaka mzima.
Hizo nimepiga July to September ndugu bado kwa hiyo ujaniacha sanaYeye kapiga hizo kwa barabara Jan - September.
Mimi nimepiga 14k in that time.
Holy Man ndio atakuwa top of the list
Oky lamba lami mkuuHizo nimepiga July to September ndugu bado kwa hiyo ujaniacha sana
Usema kweli nimetembea KM kibao hadi nafikiri mwanzo wa mwaka kubadirisha gari zote au mwisho wa mwaka zisije anza kuroga roga 👨🏿🦳👨🏿🦳👨🏿🦳Yeye kapiga hizo kwa barabara Jan - September.
Mimi nimepiga 14k in that time.
Holy Man ndio atakuwa top of the list