Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.

Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna zingine hapo hazipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu View attachment 1972621View attachment 1972622View attachment 1972623
Kula like afu kula double mkuu

Screenshot_20211013-090327_Gmail.jpg
Screenshot_20211013-090508_Gmail.jpg
 
Nilipoona 4 different countries ndio nikafikiria ndege. Ila 7k miles ni average yangu kwenye gari mwaka mzima.
Hizo sio za mwezi huu tu. Hizo ni za all time, na ndege ikiwemo. Za barabara tu ni za mwezi mmoja tu chini ya Your September Places na ndio inaonyesha kilometer za mwezi husika na hizo kilometer zimefikiwaje, barabara / baiskeli / ndege.
 
Back
Top Bottom