Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

At the highest point in Dar es salaam
20211016_161431.jpg
20211016_161530.jpg
 
Nilifika mwaka jana hapa na hiyo mitaa
Mie huwa naenda mara moja moja kupanda nikipamiss. Wakati naishi huko nilikuwa napanda karibu kila wiki ila tangu nilivyohama imekuwa ngumu kuenda mara kwa mara.

Kuna siku niliwaomba wale walinzi wanipigishe tour mule ndani plus kuingia kwenye hilo dubwasha. Yaani ukipanda huko kwenye hilo pira hadi bahari unaiona mubashara ileee.
 
"nikiingia kwenye Ofisi zenye maair-condition nashangaa nakaa sana hata kama nina mishe"

Kati ya mvua na jua bora nini?

What's up Mzizima.
What's up DarSlum jiji la wavuja jasho.

-Kaveli-
Hahaha!
Karibu ofisini kwangu mkuu..ukae Hadi uchoke,huku tukijadili road trip.

Kati ya mvua na jua mnapenda?
Mbona mnanichanganya wengine jua wengine mvua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu ukarudishwa nyumbani na gari ya bi harusi iliyopambwa. Walisemaje nilipokushusha pale?

Nilijitahidi kuendesha taratibu yale maua yasipepee [emoji38] japo uvumilivu ulinishinda baadae

Barabarani walijua nakupeleka harusini

View attachment 1972266

The road monster!

Mguu kulia, mguu kati. Kisahani mkoba!

Nissan fuga inafuga matumizi.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom