Bovu hili gari lazima tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bimmer zake mbio.Haya mafenicha ya kibabe mno[emoji39]
Unaenda wapi hapo benz ama bmw? View attachment 2006549View attachment 2006550
Mabovu tu haya 😀😀😀😀Hili la kichina 😂😂😂
Mie nipo kazini siku zote tu mwaya sina ratiba maalum. Si unajua tena kazi zetu hizi ambazo hazina weekends wala holidays.Jmoc una ratiba gan mommah?
Hizo ndio kazi sasa za kufanyaMie nipo kazini siku zote tu mwaya sina ratiba maalum. Si unajua tena kazi zetu hizi ambazo hazina weekends wala holidays.
Yaani kuwa off hakutegemei weekend wala holiday. Kwamba siku yoyote tu ukijikuta huna kazi kabisa ndiyo inakuwa off yako hiyo.
Sema nimeangalia hilo sio VX-R mie huwa napenda lile sio GX!Mkuu una mia nne imezagazagaa tu.....mtafute jamaa 😳😳😳
😀😀😀 hapo kuongeza ongea uchukue hata RR VeraaaaMkuu una mia nne imezagazagaa tu.....mtafute jamaa 😳😳😳
lipo vxr spesa yakontuSema nimeangalia hilo sio VX-R mie huwa napenda lile sio GX!
Eeh mkuu 300 series wameizingua sana matakoni🤣 ina matako ya kihindiIla mkuu hype yote ya LC300 kitu chenyewe ndio hiki?
Hahaaa si ndiyo hadi upate sasa hiyo off. Ni nzuri kama ni mtu ambaye huoni shida kuwa busy na kazi bila kujali siku.Hizo ndio kazi sasa za kufanya
Mpo wewe na Nani?Tupo hapa singida tumekaa juu ya mawe huku tunakula upepo 😀😀😀 badae tukale kuku wa kienyeji na supu yake View attachment 2007088
RRONDO
Na samakiMpo wewe na Nani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Na samaki
Singida raha banaaa 😀😀😀Mpo wewe na Nani?