ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Huyu ni mnyama gani!?Huyu mnyama anajitahidi sana....
View attachment 2003803
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mnyama gani!?Huyu mnyama anajitahidi sana....
View attachment 2003803
Unaweza kukimbia?Ni zawadi nyingine zipi huwa zinatolewa nje na gari?
Gharama za ushiriki ni kiasi gani?
Ni vigezo gani vinaangaliwa ili mtu aweze kushiriki?
Mbio nyingine zinazofuata ni lini na ni wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wambea tupo wengiii!Si nilienda kukutafuta huko kwa page ya NBC, kwani hata nimeambulia kitu?
NdiyoUnaweza kukimbia?
Hio A8 balaa....S8 si balaa na nusu?!Hapa mjerumani kanikonga nyoyo.
M80 kea madiba unapatahii kitu.
Ngoja nikazane kulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2004421View attachment 2004422View attachment 2004423View attachment 2004428
Kitu S8
Turbo charged
4.0Ltl V8
480kW na 800Nm
Yaani balaa lake haya ile range ya 2022 haifuati hapoHio A8 balaa....S8 si balaa na nusu?!
na RS8 ndio funga kazi kabisaa 😀😀Hio A8 balaa....S8 si balaa na nusu?!
bei yake sio ya baridi ni motoooHapa mjerumani kanikonga nyoyo.
M80 kea madiba unapatahii kitu.
Ngoja nikazane kulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2004421View attachment 2004422View attachment 2004423View attachment 2004428
Kitu S8
Turbo charged
4.0Ltl V8
480kW na 800Nm
Ikiwa speed 120+ inakuwa tamu, na inavyojua kuteleza 🤣🤣Huyu mnyama anajitahidi sana....
View attachment 2003803
Athlete kama sio Royal saloon.Huyu ni mnyama gani!?
Haya magari yenye uvungu wa sentimita mbili kutoka ardhini mnayashobokeaga yanini?Hapa mjerumani kanikonga nyoyo.
M80 kea madiba unapatahii kitu.
Ngoja nikazane kulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2004421View attachment 2004422View attachment 2004423View attachment 2004428
Kitu S8
Turbo charged
4.0Ltl V8
480kW na 800Nm
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haya magari yenye uvungu wa sentimita mbili kutoka ardhini mnayashobokeaga yanini?
Kwamba asubuhi unadrive kwenda ofisini Kisutu, jioni unarudi kwenye apartment Upanga?
Mimi hata sina mzuka nayo.
Ile passo yako imeacha kusumbua?Haya magari yenye uvungu wa sentimita mbili kutoka ardhini mnayashobokeaga yanini?
Kwamba asubuhi unadrive kwenda ofisini Kisutu, jioni unarudi kwenye apartment Upanga?
Mimi hata sina mzuka nayo.
Ooooh yeaaah. Naenda nayo vizuri.Ile passo yako imeacha kusumbua?
Huyu ni mnyama gani!?Huyu mnyama anajitahidi sana....
View attachment 2003803
Crown Athlete si mchezoAthlete kama sio Royal saloon.
Ila ni Athlete 😍🔥
Imesimamia kama RS53+ K kwa madibabei yake sio ya baridi ni motooo
Kila mtu na preferences zake hiyo kitu imenikuna sanaHaya magari yenye uvungu wa sentimita mbili kutoka ardhini mnayashobokeaga yanini?
Kwamba asubuhi unadrive kwenda ofisini Kisutu, jioni unarudi kwenye apartment Upanga?
Mimi hata sina mzuka nayo.