Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mie niko vijijini huku Weekend yangu nalia hukuHahahahahah yani, jana ulikuwa wapi mrembo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie niko vijijini huku Weekend yangu nalia hukuHahahahahah yani, jana ulikuwa wapi mrembo?
Ahaa nikajua ulikuwa kidimbwiniMie niko vijijini huku Weekend yangu nalia huku
Hawa boda hawa usipokuwa makini wanaweza kukuharibia siku yakoKuna boda boda chizi ningemgeuza bucha jana! Eti anageuza chombo 360 katikati ya barabara halafu highway ya mandela road ni hatari
😀😀😀😀😀 umejuaje.. kidogo leo niliwahi kidogo kuingia nimecheza kama nusu saaa 😀😀😀View attachment 2001557
Holy Man nimepiga kinywaji chako pendwa, hii kitu ni classic sana. Ila imekata usingizi wote, mida hii wewe ndio Unaingia sub kwenye viwanja.
Mjini patamu zaidi option zipo kibao unachagua ligi na kiwanja utakacho sio mikoaniWeekend mmefaidi Sana Mimi nipo mjini naangalia samaki kwenye aquarium tu.
Dodoma pana ufinyu wa viwanja.. hiyo huwa inakera sana.. mnajukuta kwisho wa siku mnaangukia wote sehemu mojaOngeza kuwa ni kipindi cha bunge na wanachuo ndo wamekwenda kuliport na bado watamu maana pesa wanazo
Acha dhambi basi 🤣Hahahaha huyo jamaa hapo nae anaweza kujiita mshua wa familia kweli anatembelea Toy Car?
Hivi ni nini lakini hizi banks kila uchwao kukimbizana 'marathon? Na wanajua wako na hela zetu 😂 wanatupa wateja gagaziko21km done!
View attachment 2001762
Natembea na mto tena?
ndio yatarii tenaaaa 😎😎😎 shusha tanga pandisha tangaNatembea na mto tena?
Kichwa chako 😀ndio yatarii tenaaaa 😎😎😎 shusha tanga pandisha tanga
tayari kakoki kachini kametoa majii mepesi yenye utelezi kidogo 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️Kichwa chako 😀
Hii kiherehere hii !! shauri yako...tayari kakoki kachini kametoa majii mepesi yenye utelezi kidogo 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
Aahh hiko kijiwe Kwangu hakina ishuAhaa nikajua ulikuwa kidimbwini
Congrats [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]21km done!
View attachment 2001762
Una mtisha nani 👨🏿🦳👨🏿🦳👨🏿🦳Hii kiherehere hii !! shauri yako...
Nani mwingine kama sio wewe?Una mtisha nani 👨🏿🦳👨🏿🦳👨🏿🦳
Bravo comrade 💪💪💪21km done!
View attachment 2001762