Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG_20211107_032341445.jpg


Holy Man nimepiga kinywaji chako pendwa, hii kitu ni classic sana. Ila imekata usingizi wote, mida hii wewe ndio Unaingia sub kwenye viwanja.
 
Holy Man ISO M.CodD wakuu lile tuta mlilonionya halina alama nimelipiga Jana nikiwa 100+kph [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] nimelishtukia nikiwa na kama 140kph hivi.
Njia hii iko hovyo sana kabla ya Gairo ukitoka Gairo ndio imetulia sana halafu unakuana na tuta bila warning
He he he he he na ulikuwa unaburuza matako chini na sedan mkuu. Najua roho iliuma sana. Pole mkuu
 
Holy Man ISO M.CodD wakuu lile tuta mlilonionya halina alama nimelipiga Jana nikiwa 100+kph 😂😂😂😂🙌🙌 nimelishtukia nikiwa na kama 140kph hivi.
Njia hii iko hovyo sana kabla ya Gairo ukitoka Gairo ndio imetulia sana halafu unakuana na tuta bila warning
Umetimiza azma ya wadau😅 vipi sample hujapasua tena? Maana kwa hio speed lazma gari ilitoa kavumbi flani ka mafichoni😂
 
Duuh wakuu nimesikia kuna ajali imetokea jioni hii maeneo ya Buigiri basi la Tashriff lililokuwa linatoka Tanga kuelekea Dodoma limegonga bodaboda na kumuua hapo hapo na dereva kakimbia! Eti dereva wa basi alikuwa anajaribu kuyapita magari yaliyokuwa yamesimamishwa sababu ya msafara ndiyo akamvaa huyo bodaboda aliyekuwa anavuka ng'ambo kuelekea kwake!
Kuna boda boda chizi ningemgeuza bucha jana! Eti anageuza chombo 360 katikati ya barabara halafu highway ya mandela road ni hatari
 
Back
Top Bottom