Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
aende wapi huyoo.. kuja dar rahisi kutoka sio rahisi hata kidogo 😀😀Unasafiri!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aende wapi huyoo.. kuja dar rahisi kutoka sio rahisi hata kidogo 😀😀Unasafiri!!??
..aende wapi huyoo.. kuja dar rahisi kutoka sio rahisi hata kidogo [emoji3][emoji3]
Unakula pishi na mpishi[emoji847]Tupo hapa singida tumekaa juu ya mawe huku tunakula upepo [emoji3][emoji3][emoji3] badae tukale kuku wa kienyeji na supu yake View attachment 2007088
RRONDO
Uwe na safari njema na yenye baraka
Mkurugenzi na WaziriMakamba/mkurugenzi TPDC cjui yupi mkweli[emoji848]View attachment 2008615
Watiane pembe tuu mwisho wa siku watuletee mafuta yenye Bei ya kizalendo.,..ukimsikiliza Matalagio kwenye utetezi wake anakanusha kusema hayo akidai ndo maana hata hiyo habari iliandikwa na Nipshe pekee ilhali kulikuwa na vyombo vingine vya habariMakamba/mkurugenzi TPDC cjui yupi mkweli[emoji848]View attachment 2008615
TPDC haiwezi jua stock ya mafuta yaliyopo nchini...hio ni kampuni tu ya mafuta nchini. UTaratibu mzima wa mafuta na kiasi kilichopo una ratibiwa na EWURA ambayo ndio mamlaka ya nishati. Taarifa ingekua imetolewa na EWURA, hapo sawaMakamba/mkurugenzi TPDC cjui yupi mkweli[emoji848]View attachment 2008615
Gari nyeupe inahitaj usafi saan, mie nazipenda mnooh.Kuna watu wanasemaga hawapendi gari nyeupe ila sielewi kwanini wanadai hivyou! Gari jeupe liko na mvuto sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si umeiona eeeh? Wee safar ya wapi tena cc?Leo nimeona kijiwe chao..
Ile hostel yako ya magufuli pale Morogoro.
Wee cc ndo safar ya green city?Aljazeera.View attachment 2008959
Sedan siziwezi kabisa.
Gari nyeusi ndo inataka udobi wa mara kwa mara.Gari nyeupe inahitaj usafi saan, mie nazipenda mnooh.