Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Makamba/mkurugenzi TPDC cjui yupi mkweli[emoji848]View attachment 2008615
Watiane pembe tuu mwisho wa siku watuletee mafuta yenye Bei ya kizalendo.,..ukimsikiliza Matalagio kwenye utetezi wake anakanusha kusema hayo akidai ndo maana hata hiyo habari iliandikwa na Nipshe pekee ilhali kulikuwa na vyombo vingine vya habari

Pia anasema kuwa alielezea uwezo wetu na sio akiba yetu kabla ya kupokea shehena nyingine

Ni sarakasi na mibinuko kwa kwenda mbele kwa wataalamu na wanasiasa
 
Makamba/mkurugenzi TPDC cjui yupi mkweli[emoji848]View attachment 2008615
TPDC haiwezi jua stock ya mafuta yaliyopo nchini...hio ni kampuni tu ya mafuta nchini. UTaratibu mzima wa mafuta na kiasi kilichopo una ratibiwa na EWURA ambayo ndio mamlaka ya nishati. Taarifa ingekua imetolewa na EWURA, hapo sawa
 
Gari nyeupe inahitaj usafi saan, mie nazipenda mnooh.
Gari nyeusi ndo inataka udobi wa mara kwa mara.

Gari nyeupe unaifutafuta kidogo inawaka.

Gari nyeuzi ikishika vumbi dawa ni kuiogesha, hakuna cha kufutafuta.

Nina gari nyeupe na nyeusi.

Nikiziosha siku 1 gari nyeupe naweza iosha hata baada ya week 2. Ila nyeusi ndani ya siku 4 inabidi ufikirie kuipiga udobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…