[emoji23][emoji23][emoji23]Waache watoto wajifurahishe.
BMW all day everyday.
Ile audi utaitoa au itabaki km gari ya akibaHivi karibuni mashusha Mercedez Benz aseee 😀😀😀😀.. German ambazo mwisho kabisa kwangu ni BMW
Hongera sana aisee, si Wengine ngoja tuendelee kupambana na kina Toyota na Subaru kwanza.Hivi karibuni mashusha Mercedez Benz aseee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. German ambazo mwisho kabisa kwangu ni BMW
Sina gari sasa hivi mkuu 😀🤣😀Ile audi utaitoa au itabaki km gari ya akiba
sie mambo yetu zinaturahisishia hizi ndiga 🙂🙂Hongera sana aisee, si Wengine ngoja tuendelee kupambana na kina Toyota na Subaru kwanza.
Ile Vanguard nayo uliitoaSina gari sasa hivi mkuu [emoji3][emoji1787][emoji3]
Mambo Yenu ya kuvua samaki ausie mambo yetu zinaturahisishia hizi ndiga [emoji846][emoji846]
gari ya kazi ile, una macho 😀😀😀Ile Vanguard nayo uliitoa
Mbio mbio barabarani, si unajua safari mda wowote mkuu , tunapenda chombo zenye mwendoMambo Yenu ya kuvua samaki au
[emoji41]gari ya kazi ile, una macho [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji38]Hehe kwamba akina Sauli wafike saa 12 halafu kina Rungwe wafike saa 4 ukasemage wanapishana muda wa kusimama vituo tu? Hebu piga mahesabu hapo tofauti ya hayo masaa na muda wanaopishana kusimama kwenye hivyo vituo!
Au wewe ulitaka yakiwa barabarani uone yanakimbia kama ma V8 ndiyo useme yanakimbia? Hapo tofauti hauwezi kuiona bali muda wa kufika ndiyo unayatofautisha haya mabasi yaani wanafanya wafanyavyo mradi saa 12 wamefika!
Nilikuwa jana hapo mchana
Haukuona mzee mwenye upara hivi 🥸🥸 mwembamba sanaaa yupo na pisi kaliii tatu 🥸🥸🥸Nilikuwa jana hapo mchana
😀😀😀 na Subaru ni gari ya ....MB gari ya kizee!
Benz imekaa too official japo zina nguvu sana.MB gari ya kizee!