Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
You are right [emoji4]Zijawahi kuizimikia hiyo gari, kwanza inatisha[emoji16]
Kumbe Nauli yake ni 44?
Aiseee!!!
Imani ndio the most luxury car kwa route yetu ila nauli yake ni 40.
Nilitaka nipande Imani nikakosa seat nzuri.
Yalishatupita[emoji23][emoji23][emoji23]You are right [emoji4]
Was waiting for this comment, thanks for being mwaminifu...Yalishatupita[emoji23][emoji23][emoji23]
Ligi imetushinda.
Dah!dereva amejaribu kukanyaga mguu weee lakini wapi,yako nyuma yametushikilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Was waiting for this comment, thanks for being mwaminifu...
SCANIA ni konyo kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo uliyepanda so MCHINA? tegemea hayo hamuipati. Seema pole Sana maana maumivu ya kupitwa mwenyewe nayajua, Achukiaga kishenzi [emoji23][emoji23][emoji23]Dah!dereva amejaribu kukanyaga mguu weee lakini wapi,yako nyuma yametushikilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tulipoingia msamvu sheli ndio wametupoteza,,tumepoteana hapa tunakimbia hovyo lakini wapi hata hatuwaoni[emoji1787][emoji38][emoji38]
Roho imeniuma sana.
Angalau dereva amekuwa mwanaume amekaza mguu tumempita Imani mlandiziHuyo uliyepanda so MCHINA? tegemea hayo hamuipati. Seema pole Sana maana maumivu ya kupiwa mwenyewe nayajua.
They're risk but yanaburudisha... Ukiwa road trip league lover alafu ukawa abiria, basi adrenaline huwa inapanda kadri dereva akikanyaga naww unajikuta unakaza tako for no reason [emoji23]Angalau dereva amekuwa mwanaume amekaza mguu tumempita Imani mlandizi
Ametutoa unyongeni angalau tuwe wa pili dah[emoji38]
Nimejisikia unyonge sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
I do entertain these stuffs,They are risk though.
Huyo mimi kabisa[emoji1787]They're risk but yanaburudisha... Ukiwa road trip league lover alafu ukawa abiria, basi adrenaline huwa inapanda kadri dereva akikanyaga naww unajikuta unakaza tako for no reason [emoji23]
Teh [emoji1787]Yalishatupita[emoji23][emoji23][emoji23]
Ligi imetushinda.
Sure mkuu hata mie nilikuwa naisubiria hii comment kwa hamu! Hizi Yutong zafaa zishindane zenyewe kwa zenyewe tu ila zisihangaike kabisa kushindana na kina Mercedes Benz na Scania watagaragazwa!Was waiting for this comment, thanks for being mwaminifu...
SCANIA ni konyo kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi kuna feo G7 DXF hasa ile ya Joff Master hakuna nyoko nyoko inayotia mguu pale hata hizo Sauli..anatulia.Sure mkuu hata mie nilikuwa naisubiria hii comment kwa hamu! Hizi Yutong zafaa zishindane zenyewe kwa zenyewe tu ila zisihangaike kabisa kushindana na kina Mercedes Benz na Scania watagaragazwa!
Huyo Sauli wengi tunamsifia siyo kwa sababu ya ushabiki tu bali jamaa amevuta vyuma vya kibabe! Wenzie wengi bado wanahangaika na Mayutong yeye kavuta zake Scania na Mercedes Benz anawakimbiza tu!
Hiyo Imani Plus kuna siku aliwahi endesha boss mwenyewe ili ampite Sauli eti alihisi madereva wake wanazembea ndiyo maana Sauli anakuwa wa kwanza kila siku! Siku hiyo kwenye line zilikuwepo Sauli, Al Saedy, na huyo Imani Plus!Dah!dereva amejaribu kukanyaga mguu weee lakini wapi,yako nyuma yametushikilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tulipoingia msamvu sheli ndio wametupoteza,,tumepoteana hapa tunakimbia hovyo lakini wapi hata hatuwaoni[emoji1787][emoji38][emoji38]
Roho imeniuma sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] magufuli hostel campus ya Morogoro.Nimeziona tena zile hostel zako za Yudizim pale Morogoro[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nakandamiza mguu.They're risk but yanaburudisha... Ukiwa road trip league lover alafu ukawa abiria, basi adrenaline huwa inapanda kadri dereva akikanyaga naww unajikuta unakaza tako for no reason [emoji23]
Si ndiyo nakushangaa unavyojikuta unaipondea na hujawahi panda wakati hadi waliopanda wameinyooshea mikono! Halafu eti unasema Imani ndiyo the most luxurious kwa route ya Dar Mbeya dooh nikaona wacha tusibishane sana!Huyo mimi kabisa[emoji1787]
Ila nimekubali kuwa mnyonge leo,japo hatujapishana sana.
Karma dada yangu amemsifia mnyama wako[emoji38],ameona inavyoingia..ndio iliwahi ,
Anasema kwanini msingepanda hilo??
Eti anasema zuri sana.
Nimeumia[emoji38],next time nalipanda.
Sitaki unyonge tena.
Yeah mkuu kila route nchi hii ina mbabe wake! Hapa tunaongelea route ya kusini hasa Dar to Mbeya mbabe wao ni Sauli ila tukija huko kwenye hizo route nyingine nako kuna wababe wao!Sasa hivi kuna feo G7 DXF hasa ile ya Joff Master hakuna nyoko nyoko inayotia mguu pale hata hizo Sauli..anatulia.
Yeah mkuu kila route nchi hii ina mbabe wake! Hapa tunaongelea route ya kusini hasa Dar to Mbeya mbabe wao ni Sauli ila tukija huko kwenye hizo route nyingine nako kuna wababe wao!
Mfano huyo Super Feo nimesikia wengi wanamsifia sana kuwa naye kaja vizuri hakamatiki! Ila yeye ameikamata route ya Dar Ruvuma kama ambavyo Sauli ameikamata route ya Dar Mbeya!
Umenikumbusha nilikua na Ka IST ka mkopo niliunga na msafara from Kibaha to dodoma niliwasha taa na fog traffic walijua ni Usalama labda.Unawaambia force number ya uongo na kweli huku upo chap chap [emoji3][emoji3][emoji3].. waambie kazi maalumu.. port huku gari inaendelea unawasha na hazard
Ujasiri tu,Umenikumbusha nilikua na Ka IST ka mkopo niliunga na msafara from Kibaha to dodoma niliwasha taa na fog traffic walijua ni Usalama labda.