Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Umenikumbusha nilikua na Ka IST ka mkopo niliunga na msafara from Kibaha to dodoma niliwasha taa na fog traffic walijua ni Usalama labda.
[emoji23]hahaa...yani bahati yako nzuri. Kuna mwingine gari ilitoka ya msafara ilitoka kwenye msafara ikamuweka mtu kati jamaa alounga kwenye msafara. Jamaa akamsimamishwa..hahaa na wakaichukua leseni yake asee..dah
 
Hiyo Imani Plus kuna siku aliwahi endesha boss mwenyewe ili ampite Sauli eti alihisi madereva wake wanazembea ndiyo maana Sauli anakuwa wa kwanza kila siku! Siku hiyo kwenye line zilikuwepo Sauli, Al Saedy, na huyo Imani Plus!

Boss kimbiza kimbiza na wewe walikuwa sambamba kuanzia Kibaha ila walipoingia tu Mbezi Sauli akawatangulia hadi wanafika Ubungo Sauli akawa wa kwanza yaani huyo boss wa Imani na nguvu zote alizotumia akaishia kuwa wa pili!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si ndiyo nakushangaa unavyojikuta unaipondea na hujawahi panda wakati hadi waliopanda wameinyooshea mikono! Halafu eti unasema Imani ndiyo the most luxurious kwa route ya Dar Mbeya dooh nikaona wacha tusibishane sana!

Ila kwa tuliopanda zote tukiweka ushabiki pembeni wengi tutakwambia Sauli yuko vizuri kwenye kila sekta yaani luxury na speed hakuna anayemkuta! Kwanza mie napenda lile crew lao pale mbele wanavyochangamsha na mastory utapenda!
Nadhani kwenye ulakshari Al saedy ni la mwisho.
Hata AC zao zimeharibika.
 
Kitu cha DXR
17595F9C-C60E-49BC-9BBF-5BCDE1DA26B2.jpeg
 
Ukatandika lipicha ndani ya Anticurreted

Udart wanakuchora tu dadake[emoji3]

Ila Karma si yupo[emoji41] atakutetea

Ndio kariba iliyojazana humo/huko[emoji2089][emoji2089]
Hahahaha
Atanitetea akishirikiana na jirani yangu dere.


Ila watu waliokuwepo watanijua.
 
Back
Top Bottom