Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Najiandaa na trip hapa ya masaa 12 hivi, kuondoka mpaka saa 1 unusu usiku huu. Uzuri hii mimi abiria nafunga mkanda wangu ikifika saa 4 nimeshalala nitajua yanayoendelea kukikicha.
 
Back
Top Bottom