miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635]Kituo kila 50km 😛😛😛
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635]Kituo kila 50km 😛😛😛
Duh!
Ha ha ha hayaaa, tukutane rock hill boss wangu..Duh!
Mwenye mjengo wake njia nyepesi
Wacha nifaidi kwa kuona
Ubarikiwe tutakutana Rock Hill na DID
Kabla tufike Kiboro
ukiwa home hutembei eeeeh
Eeh, naijulia wapi meku. Naijua shule yangu ya boarding tu ile ya primary na hizo hapo umangini makiidi..ukiwa home hutembei eeeeh
Hahaaa kimya sana kaka mkubwa. Mie najiandaa na trip ya southern circuit.Amkeni amkeni ule mwezi wa road trip ndio huu.....wiki ijayo nafanya service kabisa kujiandaa na northern zone trip!
Daah sema Blantyre parefu kichizi. Mie mara nyingi huwa naishia mji mkuu Lilongwe tu.Nitakuwa ziwani victoria, nakula sato tuuu baada ya wiki mbili hadi mwaka uishe [emoji3][emoji3] but kila kitu kikiwa sehemu yake nataka nikamalizie mwaka Blantyre .
Twende basi hii december mwisho asee 😀😀Daah sema Blantyre parefu kichizi. Mie mara nyingi huwa naishia mji mkuu Lilongwe tu.
tembea tembea bibie, uko maeneo gan pale romboEeh, naijulia wapi meku. Naijua shule yangu ya boarding tu ile ya primary na hizo hapo umangini makiidi..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Dooh kama sitakuwa pande za Nakonde basi nitakutafuta mkuu. Maana binafsi naona kama pande hizo ndiyo huwa zinachangamka sana kuliko pande zile za Karonga.Twende basi hii december mwisho asee [emoji3][emoji3]
Kumbe wewe ndiyo pendo mamtefu? Daah!Eeh, naijulia wapi meku. Naijua shule yangu ya boarding tu ile ya primary na hizo hapo umangini makiidi..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38]Kumbe wewe ndiyo pendo mamtefu? Daah!
Mommah unichukue na mie nkasuuze macho, [emoji23][emoji23][emoji23]Dooh kama sitakuwa pande za Nakonde basi nitakutafuta mkuu. Maana binafsi naona kama pande hizo ndiyo huwa zinachangamka sana kuliko pande zile za Karonga.
Hamna safari hapa, mtaishia msataKituo kila 50km 😛😛😛
Watafika wamechoka sanaHamna safari hapa, mtaishia msata
Kwetu Mkuu ndugu. Mama Makiidi hapo kwa Mangi na mzee ni Shimbi.tembea tembea bibie, uko maeneo gan pale rombo
Ha ha ha poleKumbe wewe ndiyo pendo mamtefu? Daah!