Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,077
- 1,181
Naona wakaingilia kati hahahahahah!!!! walidhani tunafaidi sana.Ujasiri tu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wakaingilia kati hahahahahah!!!! walidhani tunafaidi sana.Ujasiri tu,
Ma ndata noma sanaaNaona wakaingilia kati hahahahahah!!!! walidhani tunafaidi sana.
[emoji23]hahaa...yani bahati yako nzuri. Kuna mwingine gari ilitoka ya msafara ilitoka kwenye msafara ikamuweka mtu kati jamaa alounga kwenye msafara. Jamaa akamsimamishwa..hahaa na wakaichukua leseni yake asee..dahUmenikumbusha nilikua na Ka IST ka mkopo niliunga na msafara from Kibaha to dodoma niliwasha taa na fog traffic walijua ni Usalama labda.
Gari ziiitoTeh [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo Imani Plus kuna siku aliwahi endesha boss mwenyewe ili ampite Sauli eti alihisi madereva wake wanazembea ndiyo maana Sauli anakuwa wa kwanza kila siku! Siku hiyo kwenye line zilikuwepo Sauli, Al Saedy, na huyo Imani Plus!
Boss kimbiza kimbiza na wewe walikuwa sambamba kuanzia Kibaha ila walipoingia tu Mbezi Sauli akawatangulia hadi wanafika Ubungo Sauli akawa wa kwanza yaani huyo boss wa Imani na nguvu zote alizotumia akaishia kuwa wa pili!
Nadhani kwenye ulakshari Al saedy ni la mwisho.Si ndiyo nakushangaa unavyojikuta unaipondea na hujawahi panda wakati hadi waliopanda wameinyooshea mikono! Halafu eti unasema Imani ndiyo the most luxurious kwa route ya Dar Mbeya dooh nikaona wacha tusibishane sana!
Ila kwa tuliopanda zote tukiweka ushabiki pembeni wengi tutakwambia Sauli yuko vizuri kwenye kila sekta yaani luxury na speed hakuna anayemkuta! Kwanza mie napenda lile crew lao pale mbele wanavyochangamsha na mastory utapenda!
Dah kudadekii...haya mambo ya barabarani bhnaKitu cha DXRView attachment 2019704
chombo imesajiliwa hivi karibuni , alafu mpwaaaaDah kudadekii...haya mambo ya barabarani bhna
Daaah!! Mpya kabisaaa, Ila inanyooshwa.Kitu cha DXRView attachment 2019704
Noma hatari sanaaaDaaah!! Mpya kabisaaa, Ila inanyooshwa.
Unalia kilio cha mbwa pua juu[emoji1787][emoji23][emoji23]Noma hatari sanaaa
na nyaaa juu bila kujuaUnalia kilio cha mbwa pua juu[emoji1787][emoji23][emoji23]
Hahahahah huyo nae alikua mgeni labda anaanzaje kujichomeka kati kati.[emoji23]hahaa...yani bahati yako nzuri. Kuna mwingine gari ilitoka ya msafara ilitoka kwenye msafara ikamuweka mtu kati jamaa alounga kwenye msafara. Jamaa akamsimamishwa..hahaa na wakaichukua leseni yake asee..dah
Ukatandika lipicha ndani ya AnticurretedVile najisikia raha kukaa na dereva[emoji56]View attachment 2021247
HahahahaUkatandika lipicha ndani ya Anticurreted
Udart wanakuchora tu dadake[emoji3]
Ila Karma si yupo[emoji41] atakutetea
Ndio kariba iliyojazana humo/huko[emoji2089][emoji2089]
[emoji41]Hahahaha
Atanitetea akishirikiana na jirani yangu dere.
Ila watu waliokuwepo watanijua.
ati[emoji41]
Maswali niliyonayo ni mengi
Tufanye yaishe[emoji3]
Hakika.[emoji41]
Maswali niliyonayo ni mengi
Tufanye yaishe[emoji3]