Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
makaratasi hayoHii gari ama box?
Umeme mwingi, yana nusa tuHuko ni aheri kununua boda boda tu😅 mzigo unakaribia ku clock 2,700 halafu imagine kuna mtu ana 4.0L V6 Engine anazurura nalo daily driven!
Heheheheh sahizi wamesanukia mchongo😂😂😂😂 wanayauzaUmeme mwingi, yana nusa tu
We kweli mwenyeji umevitaja vijiwe vyoteMbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
Ndege zipo magari nomaMkuu achana na mzinga. Kuna vijana wawili wamepoteza maisha juzi na Prado 150, imechakazwa vibaya na truck. Hadi kusafiri naanza kuogopa
Wewe tu mkuu [emoji4][emoji4]Skumoja unipeleke mkuu[emoji848]
Haha na hapo nimetaja tu vile vya ukanda wa kuanzia Forest kuja Uyole. Sijataja vya ukanda wa kuanzia Iyunga kwenda Mbalizi maana kule sipapendi sana na siyo mwenyeji kivile.We kweli mwenyeji umevitaja vijiwe vyote
Umefika wapi saa hizi mkuu [emoji276][emoji276]
Hahaa hamna sema ni vile tu kasema "siku moja" ndiyo maana nimeitikia maana sijui hiyo siku moja itakuwa lini ila angetaja siku specific hapo ndiyo ingekuwa uongo [emoji2][emoji2]Duh jamaa ana bahati
Kijana nilikuwa nasubiri comment yako 🤣🤣Mimi nitaanza tarehe 23/12
Uko wapi nije tukale misele 😊😊Umefika wapi saa hizi mkuu [emoji276][emoji276]
Nipo kamanda wangu KaveliKijana mtakatifu aliyegeuka kuwa wa hovyo hovyo.
What's up msaga lami. How you doing bro. 😎
-Kaveli-
I know na tarehe za road trip ndo hizi.Mimi ndio muasisi wa Uzi sissy