Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Speeds off at 300kph when you bend to tie your shoelaces [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2039642
Aah niko mbali kabisa na huko asee [emoji3064][emoji3064]Uko wapi nije tukale misele [emoji4][emoji4]
Hii ni hatari kwa kweli.Mkuu achana na mzinga. Kuna vijana wawili wamepoteza maisha juzi na Prado 150, imechakazwa vibaya na truck. Hadi kusafiri naanza kuogopa
Very true.Japanese....Germany machine inanipa mzuka. Japanese inanipa nidhamu barabara zimekuwa hatari siku hizi
Leo inabidi tufanye uvuvi wa maana, naona Leo una chambo na ndoano ya kisasa.
Leo navua pisi za mawaziri na wabunge na next week nachukua jaguar ili twende nao sawa.. anapopita Meja meja na mie napita humo humo 😂😂😂😂😂Leo inabidi tufanye uvuvi wa maana, naona Leo una chambo na ndoano ya kisasa.
Ukichukua Jag 5.0 V8 supercharged XFR, unakuwa hauna mpinzani barabara za Minazini!Leo navua pisi za mawaziri na wabunge na next week nachukua jaguar ili twende nao sawa.. anapopita Meja meja na mie napita humo humo 😂😂😂😂😂
aah! Mie nataka utelezi tu, mambo ya kushindana ya kazi gani mkuu.. nataka gari mwenye utelezi wake akiingia basi anaisha automatic 😂😂😂😂Ukichukua Jag 5.0 V8 supercharged XFR, unakuwa hauna mpinzani barabara za Minazini!
Nimeitazama hii, haigusiki haraka haraka tusubiri itapokuwa new model ya kibongoDuh hii balaa!
Wasee wanasema its a Toyota Version of a Dog😅 hii kitu inazururaga tu na kuishi till death no major maintanance yenyewe inaweza vumilia mvua na jua chini ya mti tu bila kibanda😅! Anaweza potea for two weeks na akarudi akiwa mzima tu!
Chief hivi taa ya nyuma ya forester SH5 inaweza kuwa bei gani?Duh jamaa ana bahati
Mwendo wa kumchezea mkoloni tu😅
Usiogope mkuu bila shaka ni hawa hapa!Mkuu achana na mzinga. Kuna vijana wawili wamepoteza maisha juzi na Prado 150, imechakazwa vibaya na truck. Hadi kusafiri naanza kuogopa
GX100Wasee wanasema its a Toyota Version of a Dog😅 hii kitu inazururaga tu na kuishi till death no major maintanance yenyewe inaweza vumilia mvua na jua chini ya mti tu bila kibanda😅! Anaweza potea for two weeks na akarudi akiwa mzima tu!