Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela nyingi hii, kama huna papara kwa hii pesa unavuta gari kali sana ya kijanja.. labda kama mpenzi wa jaguar kindaki ndaki atafukia hiyo pesaSasa kweli 95m utumbukize kwenye gari za wazee?!!
Kwa 50m hii ni Mpaka pale Bandari, ongeza na fungu la watoza ushuru Ndio utafika mikononi kwakeKwa specs za gari, that’s cheap. Kulinunua hilo ni jambo jingine. Sema ukijipangapanga, 50M unapata goma hilo.
Na shuttle watu chap then nageuka kurudi mjini leo.Hii ndio likizo au ?
Bei yake Tenga kuanzia Laki 450,000/= Kisha jiandae bargain kwa pungufu.Hahahahahahah, asee nipe clue ya taa za subaru forester!
Niliongelea kabla ya TRA; nilisema tatizo ni TRA kunyoosha goti. Kuna ile ya £17,000. Na kama ukiwa na mtu on the ground, unapata hata kwa pungufu ya hapo.Mkuu £22,000 ni 70m bado TRA hujakaa nao chini. Sasa unaipataje kwa 50m?
Ha ha! Jags V8 ni gari la wazee mazee?Sasa kweli 95m utumbukize kwenye gari za wazee?!!
Kweli. Nilimuonyesha tu Kijana wa hovyo hovyo, kwani alisema kuwa anataka Jaguar95m unaweza kununua nearly new or brand new makes kibao.
Jaguar ya kiazamani tayari ipo naenda kuichukua tu, sio kama hiyo 😂😂😂😂Kweli. Nilimuonyesha tu Kijana wa hovyo hovyo, kwani alisema kuwa anataka Jaguar
Niliongelea bei kabla ya TRAKwa 50m hii ni Mpaka pale Bandari, ongeza na fungu la watoza ushuru Ndio utafika mikononi kwake
Pengine.Jags in general za wazee.
Brand matters, Jag wanapata shida sana kushawishi vijana wanunue. Hata hizi zilizowekwa hapa wamejitajidi kuachana na conservative design zao kuvutia vijana lakini bado. Anyway wapo vijana wananunua pia.Pengine.
Ila naona ukilinganisha na premium/luxury makes zingine, Jaguar yenye hizo specs ni the cheapest. Hapa naongelea akina RS6, M5, E63.
Hivyo, tukienda na kwamba vijana hawana pesa kama wazee, si vijana (hapa siongelei celebrities) wanaopenda gari zenye hizo specs watakimbilia huko?
poa mkuuBei yake Tenga kuanzia Laki 450,000/= Kisha jiandae bargain kwa pungufu.