Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hii ndio likizo au ?
Na shuttle watu chap then nageuka kurudi mjini leo.

20211212_093827.jpg
 
Jags in general za wazee.
Pengine.

Ila naona ukilinganisha na premium/luxury makes zingine, Jaguar yenye hizo specs ni the cheapest. Hapa naongelea akina RS6, M5, E63.

Hivyo, tukienda na kwamba vijana hawana pesa kama wazee, si vijana (hapa siongelei celebrities) wanaopenda gari zenye hizo specs watakimbilia huko?
 
Brand matters, Jag wanapata shida sana kushawishi vijana wanunue. Hata hizi zilizowekwa hapa wamejitajidi kuachana na conservative design zao kuvutia vijana lakini bado. Anyway wapo vijana wananunua pia.
 
Back
Top Bottom