Iwe safari njemaMimi nitaanza tarehe 23/12
Na kuna ile place jina limenitoka kule kwa mama Joni huwa kunawaka sana Liza kinapotamalakiYaah sure cleopatra nadhani nje ya apo hamna kitu
Na kuna ile place jina limenitoka kule kwa mama Joni huwa kunawaka sana Liza kinapotamalaki
Nimepata hamasa ya hali ya juu trip ni muhimu msimu huu liwalo na liwemsukuma fekero umetisha!
🦾🦾🍼🍼🍼🥂🥂🥂🍻🍻🍻🥃🥃Man,stay strong n much blessings kwa wana woote wanaousongesha uzi ngadu kwa ngadu kama Meno na kijiko au uji na mgonjwaGood morning wazee wa road trip! Leo Uzi wetu pendwa umetimiza mwaka mmoja. HBD Uzi......
View attachment 2044594
Pamoja mkuu🦾🦾🍼🍼🍼🥂🥂🥂🍻🍻🍻🥃🥃Man,stay strong n much blessings kwa wana woote wanaousongesha uzi ngadu kwa ngadu kama Meno na kijiko au uji na mgonjwa
Uzi umekuwa sehemu yangu kuubwa ya kijificha ninapovurugwa,kuamsha na kutengeneza uelewa mwingi
Aseee.....usi udumu.... japo kuna wenzetu hawaonekani ingekuwa vyema tukawa tunawacheck ili kujua bado wana exhale au la,maana road trips zina mengi ya kuogofya
Kilo 50 huwezi tuliza gari nyepesi chini.Ukifika 160 gari unakua nyepesi saaana. Labda uwe na kamzigo cha kilo 50 hivi ndo Ka Rs kana tulia vizuri.
Yaap........chombo nilichokwenda nacho nimekipeleka kwa ajili ya matumizi ya wazee,hivyo inanibidi nidandie treni kurudi jijiniTrl tena?
Ndo hiyohiyo.....huwa ni changanyikeni na full kivuruge ila huchangamka sana paleNasoma ??
Ndo hiyohiyo.....huwa ni changanyikeni na full kivuruge ila huchangamka sana pale
Zipo chache zenye injini ya 1NZ yenye turbo ilitumika kwenye Vits RsKuna vi IST vina Demons bila shaka, vinakimbiaga sio mchezo😅 kinaweza kikakukata na kupotea usiamini!
Dada Mimi nikija na kidumu Cha Lita 5 nataka Lita 2 naweka na alama inapoishia, sitaki pump iniwekee povu.Wenye vyombo vya usafiri wanawaongezea tu jam wenye magari.
Watu mnachelewa shughuli zenu kwa sababu ya vipasso chakavu barabarani,,tena unakuta wanawapiga pin!.
Ni Crown Athlete ??Chuma kiko tayari kwa trip
View attachment 2045941
Safi SanaNi yeye...