Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Good morning wazee wa road trip! Leo Uzi wetu pendwa umetimiza mwaka mmoja. HBD Uzi......
View attachment 2044594
🦾🦾🍼🍼🍼🥂🥂🥂🍻🍻🍻🥃🥃Man,stay strong n much blessings kwa wana woote wanaousongesha uzi ngadu kwa ngadu kama Meno na kijiko au uji na mgonjwa

Uzi umekuwa sehemu yangu kuubwa ya kijificha ninapovurugwa,kuamsha na kutengeneza uelewa mwingi

Aseee.....usi udumu.... japo kuna wenzetu hawaonekani ingekuwa vyema tukawa tunawacheck ili kujua bado wana exhale au la,maana road trips zina mengi ya kuogofya
 
Pamoja mkuu
 
Chuma kiko tayari kwa trip
IMG_20211216_121453_2.jpg
 
Back
Top Bottom