Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mrejesho...
Kimeo hakikuniangusha...[emoji120]
Na Jana nimerudi Arusha.kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa taifa..
Changamoto pekee Ni Tsh.20,000 ya kiwi baada ya kusimamishwa mara 3 wakati wa kurudi..

"Be Humble"
Kiwi muhimu buti la afande ling'ae mpaka mkewe ajipakie wanja hapo...
 
Very sad! Don't trust your car completely while overtaking, Nina experience kidogo in this respect. In 2018, a disaster was about to happen-niliama Lane nikiwa kwenye attempt ya kuovertake basi, Suddenly nikiwa nimeshatoka upande wangu na mahesabu yangu ya distance na kwa uzoefu wa pulling history ya gari nilijiaminisha kwamba gari lililokuwa linakuja mbele lisingeweza kunifikia kabla sijarudi kwenye lane yangu;Men-Gari ilikosa pulling in unexpected way-Nilipress accelerator mpaka chini kwa nguvu na wakati huo nipo kwenye Low gear lakini wapi na jamaa anayekuja kwenye Lane yake anakomaa na speed na kuwasha taa na horn tu-Thanks dereva wa bus alishtukia mchezo akaslow down.Pasipo kuficha kiukweli wiper ilikuja on na ilini distract sana.
*Points to note.
-Madereva wengi wa Tanzania ni wapuuzi sana-Mtu unamkuta anakomaa na horn na taa just kwa sababu yupo lane yake badala ya kuangalia jinsi gani anavyoweza help dereva mwenzake kuhakikisha wote wanakuwa salama.
-When driving-Jiridhishe mara mbili mbili ikiwemo kupanga gia mapema in advance for a manual car-Zile overtake za hapa kwa hapa wakati kuna incoming traffic kwenye other lane ni hatari sana hasa gari linapokosa pulling ghafla.
-Ujinga mwingine wa drivers niliouona hapa nchini ni tabia ya mashindano yasiyo na maana na utoto mwingi,unaweza kukuta ume calculate kuovertake gari alafu umeshaanza kuhama kulipita gari lingine then unakuta yule anayepitwa akiona anapitwa anaanza kuongeza speed ghafla ili asipitwe bila kutafakari kwamba anaweza kumuangamiza mwenzake pasina sababu ya msingi.
We need to change.Saidia mwenzako when it is possible.
 
Daah. Very sad jaman. Mbona ni wakatili hivi? Hawanaga hata huruma na roho za wengine. Na hivi wao wana bima kubwa balaa
 
Uchumi wa kati, viongozi hawajifunzi nchi zilizoendelea zinakabiliana vipi na foleni..
 
Ngao haijakatazwa, hizo bei inategemea na gari au wapi utanunua, pia mitaani mafundi welding wanazichonga vizuri.
Basi najuaga walikataza zaman kweli maana nakumbuka enzi za late 90s haya mascania walikua na mangao makubwaa mno kwahiyo ukijipendekeza anakufumua kweli. Yakakatazwaga kbs. Na ndo miaka nilikua nasafiri kweli na mama na malori kwenda maporini
 
Pole sana...mimi huyu dereva wa basi aliamua tu kunikomoa...ninakaribia kumpita ili nilipite lifuso la mbele, jamaa naye akahama lane ili alipiye lile fuso....sikuwa na namna zaidi ya kutafuta lane nyingime ambayo ni majani huko nje ya barabara..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…