Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aisee wewe acha tu!
😂😂😂😂 Jana nimeingia saa saba usiku, nikaenda kukaa kwenye chaka flani aseee.. nikabaki nashangaa mambo ndio haya, ikabidi nikimbie.. nimefika hotelin majaribu mtaji 😬😬😬.. asubuhi nimeamkia mlimani city. napo nimekimbia unaweza firisika na kuwa kama MacMuga.. imenidi nirudi home, ingawa sikuwa na mpango nilipanga niishie hotel.. ila hali haina amani hata kidogo
 
Teh teh teh .... Eti MacMuga....
 
Kwa hiyo hujiamini mkuu, unahisi utateleza na kudumbukia?
 
UDBS wamemaliza test wako wanaranda randa sahizi... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…