Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

1100 hrs nimefika arusha.

Zaidi ya korogwe total kuongeza mafuta, sijasimama tena mpaka arusha.

Ila hizo ajali za njiani sio poa.
Yani watu wamepasuka sana aisee... Pale segera yule bodaboda atakuwa amedanji, na ile RAV4 iliyomsomba naikumbuka ilinikata.

Bagamoyo kule ndio ajali ya gari 3, noma na nusu
 
Advertise imeanzia kule bagamoyo, kuna cruiser imeipasua kilimanjaro, ule mzinga sio wa kitoto.

Kuna moja imetokea mbele kidogo ya same, gari ndogo imebutua lorry kwa nyuma. Hiyo gari ni completely totaled..
 
Advertise imeanzia kula bagamoyo, kuna cruiser imeipasua kilimanjaro, ule mzinga sio wa kitoto.

Kuna moja imetokea mbele kidogo ya same, gari ndogo imebutua lorry kwa nyuma. Hiyo gari ni completely totaled..
Kipindi hichi panahitajika discipline sana, kuna watu wanaendesha kama wako mandela road.

Niliwaacha waende sikutaka kuwapita maana hawakuwa na ustaarabu, mmoja ndio huyo nikamkuta kala bodaboda pale segera na gari yake imeisha mbele.
 
Jamani 180 msiichukulie poa.

Kuna mwamba mmoja na Ford Ranger niliona anataka kunidhalilisha wakati naitafuta Same, nikatembelea pedal to the metal.

Namwona anasogea, namwashia na indicator kumruhusu apite ila hawezi kuichochea ipitilize 200 in enough time to pass safely. Nikaishia kumvimbia katika misingi hiyo, nikapiga TWO (Throttle Wide Open) overtakes kadhaa akashindwa kuzimatch nikasepa nikapotea.

Alikuja kunipita nikiwa nafuata 50 ndio sikumuona tena. Hata kama nimeliwa, amenila kwa tabu kwelikweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Isingekuwa kuogopa fine tungevimbiana sana
 
Kupo na vibe sana huko road ukichanganya na kukosa uzoefu.

Ndo maana ajali ni rahisi kuipata.
 
Jamani 180 msiichukulie poa.

Kuna mwamba mmoja na Ford Ranger niliona anataka kunidhalilisha wakati naitafuta Same, nikatembelea pedal to the metal.

Namwona anasogea, namwashia na indicator kumruhusu apite ila hawezi kuichochea ipitilize 200 in enough time to pass safely. Nikaishia kumvimbia katika misingi hiyo, nikapiga TWO (Throttle Wide Open) overtakes kadhaa akashindwa kuzimatch nikasepa nikapotea.

Alikuja kunipita nikiwa nafuata 50 ndio sikumuona tena. Hata kama nimeliwa, amenila kwa tabu kwelikweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Isingekuwa kuogopa fine tungevimbiana sana
Ford Ranger ni nzuri kimuonekano ila haina horses za kutosha kutoboa huko.

Just 200hp tena ile wild track. Ingekuwa arround 250hp ungekula jeuri yako.
 
Nna 280hp under the hood mkuu... Na nagonga 180 in 30 seconds.

You need serious muscle kunipita haswa na barabara zetu za single lane hizi, unahitaji nafasi ya kutosha kwenye oncoming lane ufike 200+ unipite
 
Rock hill hapa

Mazee wewe wapi?View attachment 2054259

IMG_20211224_115257.jpg
 
Back
Top Bottom