Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Karibu Mo town where the bata happen[emoji1787][emoji23]Asante kwa taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Mo town where the bata happen[emoji1787][emoji23]Asante kwa taarifa
Maadhimisho ya Krismas kitaifaKaribu Mo town where the bata happen[emoji1787][emoji23]
Malindi 😊😁😁😁Moshi pazuri
Hugo's
Manyelez
Woodland na Redstone
Ndio starehe zinakopatikana Moshi
Usisahau malindi[emoji1787]
Mnaendeshaje Cayenne wakati Rav 4 zipo😅Mbona TRA ni wa katili sanaaa...
Bavaria ISO M.CodD Offshore Seamen mtongwe Extrovert RRONDO View attachment 2056106
Mnaendeshaje Cayenne wakati Rav 4 zipo😅
Bei yake sio mbaya sana
Kwenye hizi gari naona TRA wamekaza kishenzi hawaachi upumue hata kidogo hata gari ya 2006 unakutana na moto tuuBei yake sio mbaya sana
Anataka kuwaletea watu dharau huyu, anyooshwe [emoji23][emoji23]Mnaendeshaje Cayenne wakati Rav 4 zipo[emoji28]
Huyo officer mwenyewe wa TRA anaitamani hio halafu we uendeshe kizembeAnataka kuwaletea watu dharau huyu, anyooshwe [emoji23][emoji23]
Ila umeiona ilivyo nzuri eeeh..Anataka kuwaletea watu dharau huyu, anyooshwe [emoji23][emoji23]
Watu wapo maji tungiii 😁😁😁😁Comments gani hizo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ni katamu wallahiIla umeiona ilivyo nzuri eeeh..
Extrovert
sema TRA wana roho mbaya haiwezekani hata gari ya 2006 wakaze sana..
Natafuta sababu ya TRA kuzikazia sana kwenye beiNi katamu wallahi
Dooh [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Watu wapo maji tungiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unaweza tamani ukaishi SA uendeshe ndiga kali kama hizi, hapa. kwetu firigisu mingi sanaCayenne hainaga mbwembwe huwaga ni kali kinyama. Sema ndio kodi zake pia zimekaa ki porsche porsche tu😂😂😂
Hapa wote mnatakiwa muishi na mjapanUnaweza tamani ukaishi SA uendeshe ndiga kali kama hizi, hapa. kwetu firigisu mingi sana
jamaa wazushi sana TRA, acha niongee na mama Hangaya, watuondolee kodi kubwa hivyoHapa wote mnatakiwa muishi na mjapan