Hapa wote mnatakiwa muishi na mjapanUnaweza tamani ukaishi SA uendeshe ndiga kali kama hizi, hapa. kwetu firigisu mingi sana
hahahahahjamaa wazushi sana TRA, acha niongee na mama Hangaya, watuondolee kodi kubwa hivyo
Yeye ni wa hovyo hovyoDooh [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Juzi kati hapaComments gani hizo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kwenye uzi upi [emoji2369][emoji2369]Juzi kati hapa
Ulifunguka fulani hivi..
Duh!
Hivi Subaru forester XT haikufai au unataka tuu kuwatafuta ubaya wanaopanga hiyo calculatorMbona TRA ni wa katili sanaaa...
Bavaria ISO M.CodD Offshore Seamen mtongwe Extrovert RRONDO View attachment 2056106
Chimba tuu utazipata......Ila moja wapo ni kuwa vipuri vyake vinakomba akiba kubwa ya fedha zetu za kigeniNatafuta sababu ya TRA kuzikazia sana kwenye bei
When it comes to Porsche Brand never expect a fair treatment. Hiyo sio BMW au Merc.Mbona TRA ni wa katili sanaaa...
Bavaria ISO M.CodD Offshore Seamen mtongwe Extrovert RRONDO View attachment 2056106
Chukua ya kuanzia ya 2016, yale macho manne mi hoi.
Katika gari ambayo sijawai kuzielewa kabisa ni Subaru.. asee nilishaitumia kwa mda nikatokea pia kuichukia moja kwa moja pasipo sababu ya msingiHivi Subaru forester XT haikufai au unataka tuu kuwatafuta ubaya wanaopanga hiyo calculator
Ushuru wake hauna ujamaa na mieChukua ya kuanzia ya 2016, yale macho manne mi hoi.
😁😁😁😁😁😁.. Dah!Chimba tuu utazipata......Ila moja wapo ni kuwa vipuri vyake vinakomba akiba kubwa ya fedha zetu za kigeni
Pole sana. Zidishs juhudi aje mwingineWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Pole sana mkuu. Pole sana kwa mama wa mtoto, na Bwana Mungu amtie nguvu.Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Daah pole Sana mkuu, kwako na mama wa mtotoWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Potezea bhas..Kwenye uzi upi [emoji2369][emoji2369]
Asee pole Sana bro.Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Dah pole sana ndugu, Mwenyezi Mungu akupe wepesi kipindi kigumu hiki kwakoWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.