Nimefail... Ndio naingia online now.Iliotulia Kwa lunch
Eti wakuu, hapo nawexa kufuta kwa kutumia solution gani..?...
Mtoto kaandika kwa marker pen mimi nikiwa ndani...saa hizi ndiyo nimegundua.... Nimejaribu kufuta kwa kitambaa kibichi lakini wapi..[emoji34][emoji34][emoji35]
View attachment 2065604
Yani ulivyo sema Kama yeye nimejaribu saana kumuumba kifikra lakini imegoma.Punguza ukorofi[emoji1787]
Eti wakuu, hapo nawexa kufuta kwa kutumia solution gani..?...
Mtoto kaandika kwa marker pen mimi nikiwa ndani...saa hizi ndiyo nimegundua.... Nimejaribu kufuta kwa kitambaa kibichi lakini wapi..[emoji34][emoji34][emoji35]
View attachment 2065604
Nashukuru kwa ushauri..Polee
Natumai hukumchapa...
Kwanza tembea nalo kama wiki hivi likiwa hivyo hivyo....
Natumai ndani ya wiki watu wakiona watakusemesha namna ya kufuta bila kuharibu rangi ya gari.
Pili nenda kwa mafundi rangi, watakusaidia na tina inayofuta bila kuharibu rangi ya gari
Tatu, mnunulie mtoto ule ubao wa kuandika kwa marker pen zinazofutika
Nne muelimishe kuchora kuandika kwenye gari au ukutani si sahihi
Tano weka mbali na watoto marker pen ambazo ni sticky yaani hazifutiki....
Happy New Year [emoji3060].
,[emoji22][emoji22][emoji22]..duh... shukrani mkuu..nitajaribu hizo hatua endapo sitapata suluhisho la mapemaHow to Remove Permanent Marker From Car Paint
Permanent marker stains on most surfaces present a problem. When those stains are on your car's exterior paint you have the added difficulty of trying to remove the marker and not the paint. Commercial products made for removing permanent marker stains contain acetate. Using these products on...itstillruns.com
Nashukuru kwa ushauri..
1..nilimleta ubao wake, akautumia siku mbili, hautaku tena..
2..Hata kuta za nyumba ameandika sehemu ambazo si rahisi kuona kwa haraka...
3..marker pen sikumoa mimj, sijui kaitoa wapi..[emoji35][emoji35]
5..sikumchapa coz nimeona saa sita usiku, mtoto akiwa ameshalala...ila kumfinya kidogo muhimu..[emoji85]
6..Itabidi niende nalo hapo jirani kuna fundi wa rangi..nadhani atanifutia kama ulivyoshauri..
[emoji23]Eti wakuu, hapo nawexa kufuta kwa kutumia solution gani..?...
Mtoto kaandika kwa marker pen mimi nikiwa ndani...saa hizi ndiyo nimegundua.... Nimejaribu kufuta kwa kitambaa kibichi lakini wapi..[emoji34][emoji34][emoji35]
View attachment 2065604
Hahahaa....[emoji28][emoji28]1. Hulka za watoto sijui huwa wanafikiri nini na ubongo wao ukoje.....
Labda namna ubongo unazidi kukua ufikiri wake unakuwa wa namna yake.
Nishaona mzazi kanunua hizi simu za bei rahisi Android awe anamuachia mtoto acheze games za kwenye simu ili tuu asitumie simu ya mama/baba yake....
Ajabu mtoto ataitumia ile simu wiki tuu haitaki anataka ya mzazi na kilio juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mvumilie ndo ulezi huo unatakiwa uende nae hivyo hadi aje kutambua na kuelewa namna inapaswa kufanywa. Kulea si kazi ndogo, wazazi mna jukumu kubwa.
2. Hiyo hata mimi nikiwa mdogo nilishaandika ukutani sana, suluhisho la hii kwa miaka ya siku hizi ni kupaka rangi za mafuta/wash and wear ambazo hata ukifuta na tina / mchanganyiko maalum haiharibu rangi ya ukuta.
Polee endeleeni kumuelewesha ila usimchape sana, waweza weka sauti na uso wa kukasirika kuonyesha msisitizo.
3. Hapo sasa zungumza na nyumba nzima kila mtu aweke vitu ambavyo mtoto anaweza tumia kwa kuharibu vitu bila kujua au yeye akichukulia ni sehemu ya michezo.
Stage hiyo ndo ule usemi unaapply... weka mbali na watoto, ficheni mbali kabisa [emoji28][emoji28] najua wako watoto watundu hao ni exceptional...
View attachment 2065763
Ona kama huyo mtoto hapo kapata mkong’oto wa mwamvuli hadi mammy kaenda kuisemea jikoni sijui chumbani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nani aliyeiweka hiyo TV hapo chini? Sidhani kama mtoto anaweza iweka hiyo TV chini yeye kaona kapata mkeka wa kioo wa kuchezea aahahahahahaaa
Ila ukiwa na watoto usiwe bonge, huyo mama angekuwa bonge asingemuwahi na fimbo za mwamvuli aahahahahahaaa mtoto alishastuka akaanza kukimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
4/5. Okay, kama mzazi usimnyime kabisa fimbo mtoto ila isipite kiwango cha kosa alofanya [emoji28][emoji28]
Usifanye akaogopa magari hata siku mnataka kutoka out analia hataki kuoanda gari kwa woga wa kuchapwa.
6. Kuna link ametoa RRONDO hapo juu imeelezea pia namna ya kufuta permanent marker.
Hahahaa....[emoji28][emoji28]
Vinaudhi na kukera ila inabidi nicheke..
Nimemtazama asubuhi hii huruma ikanijia,
Ni katoto kangu kafestiboni kakike...mimi na watoto wa kike dam dam...
Ingelikuwa dume, angeamka na mikwaju..[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Show ilianzia hapa...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]
Mkuu mimi sina msaada ila hayo maandishi yamenichekesha[emoji1787][emoji119][emoji23][emoji119]na jinsi alivyoweka hizo tick .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Show ilianzia hapa...[emoji119][emoji119][emoji119]
Ukuta ni kama umepakwa oil chafu,[emoji22][emoji119][emoji119]View attachment 2065810View attachment 2065811View attachment 2065812
[emoji28][emoji28][emoji28]hilo pia ni sababu ya yeye kusamehewa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu dogo ana mwandiko mzuri ajabu.
Dogo atakuwa kichwa sana huyo.[emoji28][emoji28][emoji28]hilo pia ni sababu ya yeye kusamehewa..
....ndiyo amegraduate vidudu..[emoji119][emoji119]
Na Mungu amsaidie ikawe hivyo..[emoji120][emoji120]Dogo atakuwa kichwa sana huyo.
Muacheni apalilie mwandiko huo .
AmenNa Mungu amsaidie ikawe hivyo..[emoji120][emoji120]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...tuwapende sana na kuwavumilia maana usipokuwa naye tena, ni shughuli nyingine...Amen
Ila hilo gari limenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo za ndani kawaida sana .
Wengine tunafanya kazi ya kusugua ukuta kila mara na watoto wanachora tenaView attachment 2065880
Ukishakuwa na mtoto ibabidi tu uwe na roho nyeupee,vinginevyo unaweza watengua kwa kipigo.
Hakika👏[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...tuwapende sana na kuwavumilia maana usipokuwa naye tena, ni shughuli nyingine...