Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Eti wakuu, hapo nawexa kufuta kwa kutumia solution gani..?...
Mtoto kaandika kwa marker pen mimi nikiwa ndani...saa hizi ndiyo nimegundua.... Nimejaribu kufuta kwa kitambaa kibichi lakini wapi..[emoji34][emoji34][emoji35]
IMG_20220102_001027~2.jpg
 
Eti wakuu, hapo nawexa kufuta kwa kutumia solution gani..?...
Mtoto kaandika kwa marker pen mimi nikiwa ndani...saa hizi ndiyo nimegundua.... Nimejaribu kufuta kwa kitambaa kibichi lakini wapi..[emoji34][emoji34][emoji35]
View attachment 2065604

Polee

Natumai hukumchapa...

Kwanza tembea nalo kama wiki hivi likiwa hivyo hivyo....

Natumai ndani ya wiki watu wakiona watakusemesha namna ya kufuta bila kuharibu rangi ya gari.

Pili nenda kwa mafundi rangi, watakusaidia na tina inayofuta bila kuharibu rangi ya gari

Tatu, mnunulie mtoto ule ubao wa kuandika kwa marker pen zinazofutika

Nne muelimishe kuchora kuandika kwenye gari au ukutani si sahihi

Tano weka mbali na watoto marker pen ambazo ni sticky yaani hazifutiki....

Happy New Year 🥳.
 
Happy New Year [emoji3060].
Nashukuru kwa ushauri..
1..nilimleta ubao wake, akautumia siku mbili, hautaku tena..
2..Hata kuta za nyumba ameandika sehemu ambazo si rahisi kuona kwa haraka...
3..marker pen sikumoa mimj, sijui kaitoa wapi..[emoji35][emoji35]
5..sikumchapa coz nimeona saa sita usiku, mtoto akiwa ameshalala...ila kumfinya kidogo muhimu..[emoji85]
6..Itabidi niende nalo hapo jirani kuna fundi wa rangi..nadhani atanifutia kama ulivyoshauri..
 
,[emoji22][emoji22][emoji22]..duh... shukrani mkuu..nitajaribu hizo hatua endapo sitapata suluhisho la mapema
 
Nashukuru kwa ushauri..
1..nilimleta ubao wake, akautumia siku mbili, hautaku tena..
2..Hata kuta za nyumba ameandika sehemu ambazo si rahisi kuona kwa haraka...
3..marker pen sikumoa mimj, sijui kaitoa wapi..[emoji35][emoji35]
5..sikumchapa coz nimeona saa sita usiku, mtoto akiwa ameshalala...ila kumfinya kidogo muhimu..[emoji85]
6..Itabidi niende nalo hapo jirani kuna fundi wa rangi..nadhani atanifutia kama ulivyoshauri..

1. Hulka za watoto sijui huwa wanafikiri nini na ubongo wao ukoje.....
Labda namna ubongo unazidi kukua ufikiri wake unakuwa wa namna yake.
Nishaona mzazi kanunua hizi simu za bei rahisi Android awe anamuachia mtoto acheze games za kwenye simu ili tuu asitumie simu ya mama/baba yake....
Ajabu mtoto ataitumia ile simu wiki tuu haitaki anataka ya mzazi na kilio juu 🤣🤣🤣🤣🤣
Mvumilie ndo ulezi huo unatakiwa uende nae hivyo hadi aje kutambua na kuelewa namna inapaswa kufanywa. Kulea si kazi ndogo, wazazi mna jukumu kubwa.

2. Hiyo hata mimi nikiwa mdogo nilishaandika ukutani sana, suluhisho la hii kwa miaka ya siku hizi ni kupaka rangi za mafuta/wash and wear ambazo hata ukifuta na tina / mchanganyiko maalum haiharibu rangi ya ukuta.
Polee endeleeni kumuelewesha ila usimchape sana, waweza weka sauti na uso wa kukasirika kuonyesha msisitizo.

3. Hapo sasa zungumza na nyumba nzima kila mtu aweke vitu ambavyo mtoto anaweza tumia kwa kuharibu vitu bila kujua au yeye akichukulia ni sehemu ya michezo.

Stage hiyo ndo ule usemi unaapply... weka mbali na watoto, ficheni mbali kabisa 😅😅 najua wako watoto watundu hao ni exceptional...

Ona kama huyo mtoto hapo kapata mkong’oto wa mwamvuli hadi mammy kaenda kuisemea jikoni sijui chumbani 🤣🤣🤣🤣

Ila nani aliyeiweka hiyo TV hapo chini? Sidhani kama mtoto anaweza iweka hiyo TV chini yeye kaona kapata mkeka wa kioo wa kuchezea aahahahahahaaa

Ila ukiwa na watoto usiwe bonge, huyo mama angekuwa bonge asingemuwahi na fimbo za mwamvuli aahahahahahaaa mtoto alishastuka akaanza kukimbia 🤣🤣🤣🤣

4/5. Okay, kama mzazi usimnyime kabisa fimbo mtoto ila isipite kiwango cha kosa alofanya 😅😅

Usifanye akaogopa magari hata siku mnataka kutoka out analia hataki kuoanda gari kwa woga wa kuchapwa.

6. Kuna link ametoa RRONDO hapo juu imeelezea pia namna ya kufuta permanent marker.
 
Eti wakuu, hapo nawexa kufuta kwa kutumia solution gani..?...
Mtoto kaandika kwa marker pen mimi nikiwa ndani...saa hizi ndiyo nimegundua.... Nimejaribu kufuta kwa kitambaa kibichi lakini wapi..[emoji34][emoji34][emoji35]
View attachment 2065604
[emoji23]
Mkuu mimi sina msaada ila hayo maandishi yamenichekesha[emoji1787][emoji119][emoji23][emoji119]na jinsi alivyoweka hizo tick .
 
1. Hulka za watoto sijui huwa wanafikiri nini na ubongo wao ukoje.....
Labda namna ubongo unazidi kukua ufikiri wake unakuwa wa namna yake.
Nishaona mzazi kanunua hizi simu za bei rahisi Android awe anamuachia mtoto acheze games za kwenye simu ili tuu asitumie simu ya mama/baba yake....
Ajabu mtoto ataitumia ile simu wiki tuu haitaki anataka ya mzazi na kilio juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mvumilie ndo ulezi huo unatakiwa uende nae hivyo hadi aje kutambua na kuelewa namna inapaswa kufanywa. Kulea si kazi ndogo, wazazi mna jukumu kubwa.

2. Hiyo hata mimi nikiwa mdogo nilishaandika ukutani sana, suluhisho la hii kwa miaka ya siku hizi ni kupaka rangi za mafuta/wash and wear ambazo hata ukifuta na tina / mchanganyiko maalum haiharibu rangi ya ukuta.
Polee endeleeni kumuelewesha ila usimchape sana, waweza weka sauti na uso wa kukasirika kuonyesha msisitizo.

3. Hapo sasa zungumza na nyumba nzima kila mtu aweke vitu ambavyo mtoto anaweza tumia kwa kuharibu vitu bila kujua au yeye akichukulia ni sehemu ya michezo.

Stage hiyo ndo ule usemi unaapply... weka mbali na watoto, ficheni mbali kabisa [emoji28][emoji28] najua wako watoto watundu hao ni exceptional...

View attachment 2065763

Ona kama huyo mtoto hapo kapata mkong’oto wa mwamvuli hadi mammy kaenda kuisemea jikoni sijui chumbani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila nani aliyeiweka hiyo TV hapo chini? Sidhani kama mtoto anaweza iweka hiyo TV chini yeye kaona kapata mkeka wa kioo wa kuchezea aahahahahahaaa

Ila ukiwa na watoto usiwe bonge, huyo mama angekuwa bonge asingemuwahi na fimbo za mwamvuli aahahahahahaaa mtoto alishastuka akaanza kukimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

4/5. Okay, kama mzazi usimnyime kabisa fimbo mtoto ila isipite kiwango cha kosa alofanya [emoji28][emoji28]

Usifanye akaogopa magari hata siku mnataka kutoka out analia hataki kuoanda gari kwa woga wa kuchapwa.

6. Kuna link ametoa RRONDO hapo juu imeelezea pia namna ya kufuta permanent marker.
Hahahaa....[emoji28][emoji28]
Vinaudhi na kukera ila inabidi nicheke..

Nimemtazama asubuhi hii huruma ikanijia,

Ni katoto kangu kafestiboni kakike...mimi na watoto wa kike dam dam...

Ingelikuwa dume, angeamka na mikwaju..[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mwanao ana mwandiko mzuri huo alipandika kwa herufi ndogo na heading ya Reading.

Hapo sijui inabidi umnunulie ubao mkubwa kama wa shule maana anaonekana anataka kuandika kama mwalimu anavyofanya shuleni....

Water dispenser imekipata cha moto, na hayo majina mengine yamejirudia kama aliyoandika kwenye gari, nahisi hao watakuwa rafiki zake.

Endelea kumuelewesha kadri anavyokua.
 
Na Mungu amsaidie ikawe hivyo..[emoji120][emoji120]
Amen
Ila hilo gari limenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo za ndani kawaida sana .
Wengine tunafanya kazi ya kusugua ukuta kila mara na watoto wanachora tena

Ukishakuwa na mtoto ibabidi tu uwe na roho nyeupee,vinginevyo unaweza watengua kwa kipigo.
 
Amen
Ila hilo gari limenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo za ndani kawaida sana .
Wengine tunafanya kazi ya kusugua ukuta kila mara na watoto wanachora tenaView attachment 2065880

Ukishakuwa na mtoto ibabidi tu uwe na roho nyeupee,vinginevyo unaweza watengua kwa kipigo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...tuwapende sana na kuwavumilia maana usipokuwa naye tena, ni shughuli nyingine...
 
Back
Top Bottom