Kumbe hapo shida sio gari Bali ni dereva, hata akiendesha BMW kwa style hiyo itamchinja tu, Hivi kwani huko ujerumani gari zao huwaga hazipati ajali mkuu??HaWa Si ndio wavuta bangi tunaowaongelea unamuona Yuko Sawa huyo? Ndio maana mark X ziliwachinja sana,sasa hivi zamu ya Crown.
Kama kina turbo kinakimbia sanaHiki chombo nilifika 160 km/h na sikukipata nahisi alikuwa zaidi ya hii 160,ila ajabu ni kama alikuwa na mchezo anawatangulia halafu mbele anaingia kushoto halafu anatokea tena nyuma na kutangulia.View attachment 2067526
Hahahahaha..... nimekosa mimi... nimekosa mimi... nimekosa sana.... tupo pamoja PRONDO..Ha ha ha kazi ipo. Haya mkuu umeshinda.
Daah..[emoji119][emoji119][emoji38][emoji38]Ni rahisi kutembea na mzungu 220kmh kuliko mjapan 180kmh.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah mkuu..prado mchaga tena..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38][emoji38]Kama umeamua kubisha bisha tu ila huwezi kufananisha handling ya European car na Japanese hata kidogo kwenye high speed. Naelewa kuna watu hawezi kuona tofauti ya handling hata Kati ya Prado mchanga na Crown yeye anaona yote Sawa tu.
Sentensi ya kimwamba sana hiiiTafuta wewe IST au Vits stock na mimi nitakuwa na 4GR stock uchague pa kwenda.
Usikasirike, they are children. ItatokaEti wakuu, hapo nawexa kufuta kwa kutumia solution gani..?...
Mtoto kaandika kwa marker pen mimi nikiwa ndani...saa hizi ndiyo nimegundua.... Nimejaribu kufuta kwa kitambaa kibichi lakini wapi..[emoji34][emoji34][emoji35]
View attachment 2065604
Nilifanikiwa kutoa mkuu,Usikasirike, they are children. Itatoka
Mimi kitendo cha kuwa left hand drive ni kigezo cha kutokununua hiyo gari kabisa. Ukinunua hata wewe itakuja kusumbua kuiuza kwa sababu hiyoWazee wa Road Trip naombeni ushauri kidogo... Kuna gari Honda CR-V second generation (2002) nataka kuichukua, ila kabla sijaichukua nimekuja hapa kupata muongozo kwenu wadau.
Wasifu wa hii gari ni manual transmission yenye real time 4WD, gari ni left hand drive, mmiliki ni muhindi anakaa upanga hapo, aliinunua ikiwa zero mileage plate number ni CK, Hadi Sasa inasoma 130,000 mileage. Nimevutiawa na dash yake inasoma Kmh220 na Mph140.
Kwa wasifu huu mfupi mnanishaurije wadau? Kwenye swala la upatikanaji wa spare na mengineyo muhimu. CC RRONDO Bavaria Kijana wa hovyo hovyo Offshore Seamen ISO M.CodD na wengine wenye uzoefu na hii gari..
Natanguliza shukran.
Wazee wa picha :
View attachment 2065999View attachment 2066000View attachment 2066001View attachment 2066002
Mkuu watoto wachape kwa makosa mengine ya utovu wa nidhamu, kiburi n.k lkn kuandika ukutani, n.k usihangaike, utaumiza tu watoto, na utakuwa unawaonea bure. Kuandika andika pasipostahili Ni katika hatua za ukuaji just like watoto kupenda kula mchanga na kuwa wadadisi. Everything is new to them and everything is adventure. Kuwa na moyo mweupe kwa watoto, wavumilie, hata wewe wazazi wako walikuvumilia kwa mengi hata kama walikupiga baadhi but trust me yapo mengi mno ambayo hawakukupiga.Ni kweli Mkuu
Ila mapigo yanaweza kuwa ya maneno, kumuelekeza, akizingua zaidi, vitasa vinamuhusu...
Nimemchimba mkwara mzito, sijui kama atarudia..[emoji18][emoji18]
Hapa ndipo shida ilipo, siwezi nunua left hand tz hii, unavoartake kwa shida ya niniHongera gari nzuri. Kuna mahali nili ikuta gari Kama hiyo Ila imefungwa injini ya Corolla.
Hivi left hand haisumbui wakati wa Ku overtake? Haswa ukiwa alone.
True kabisa, binafsi spidi yangu mwisho 120, napenda kutembea kati ya 90 na 110. Ukinipita haina maana kuwa gari haina mbio. Pia kuna dereva wa Ofisini yeye huwa havuki 140 japo anaendesha gari kali sana, na mwingine havuki 160 lkni gari lake 260 kph. Wapo madereva wengi huwa wana limit ya mwendo kasi wa kuendesha. Binafsi nimejiwekea spidi limit ya kuendesha gari baada ya siku moja kuchotwa kwenye kona fulani huko Babati nikiwa spidi kubwa sanaKila mtu ana limit yake. Mtu anaweza kuwa na V8 lakini havuki 140kph sasa ukimpita huyo utasema uneichapa V8? Kuna V8 nilienda nayo nikapita na 160kph nikagindua huyu havuki mwendo huu sio kwamba gari yangu inakimbia kuliko hio V8
Mweleze ukweli kuwa umeweza kujua tofauti kwakuwa umeendesha brand za ulaya na brand za Japan. Kama hujaendesha aina tofauti tofauti sio rahisi kutofautishaAcha kujishtukia mimi naendesha Crown.
I think ni kama 70hp.Ujasiri na uwezo wa gari,sasa Una IST ujasiri itakufikisha wapi maanake utaishia kuua engine haiwezi kuvuka limit yake. Hivi IST ina hp ngapi? Inafika 100hp?
Kwa uzoefu ukiambiwa kati ya gari zote za mzungu ipi ipo more reliable kuliko zingine? Na ipi ni more unreliable.Bei zile zile tu uwe na ujasiri wa disappointment za hapa na pale si unajua vyuma chakavu tena!
Vanguard nayo gari ya kuitaja kwenye hii sekta?Jana ilikuwa siku nyingine ya kuwatesa waJapan huko barabarani.. Daaah hawa team Japan ukiwaona wanavyongea humu ndani hutaamini kinachowatokea huko barabarani..
Mbele ilitangulia BM nyuma akinifata Merce E Class.. tumewagalagaza mpaka aibu. Kuna mmiliki mmoja wa Vanguard alijifanya kufata nadhani somo alilipata fresh na kama alifika salama nyumbani kwake lazima atafanya maamuzi magumu ya kutoka kwenye usafiri wa Asia na kuamia gari za Mzungu..