Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mpaka utoe limiter,otherwise inabidi uwe mnyonge tu. Halafu advantage ingine ya Euro make mtu anaenda 190kph ni kama 60kph ila Japanese ukifika 150kph inaanza kuhisi danger kwahio hata ukitoa limit labda uwe chizi ndio utazidi 180
.....mazingira ya barabara za tz, muda mwingi ujasiri wa dereva ndiyo unaweza ukamfanya akawa mbane barabarani....
Sometimes usishangae ISt ikakuchapa na ikapotea..[emoji2960][emoji2960]
 
Mkuu nimecheka tu. Kuna vitu hata uwe jasiri haviwezekani. Hizi Stori sijui IST Vitz dereva jasiri aniache na 3/4GR ni huko vijiweni tu.
 
Hizi za chini chini zinjitahidi sana kushika bara bara..mfano Crown au fuga...
Kama ulitoka kwenye RAV4/Prado ukishika Crown utaiona inashika barabara. ILA kama umetoka kwenye BMW,Audi na wenzie ukishika Crown utaona inaelea tu barabarani.
Though I must admit the motor is superb just the limiter inazuia isifike over 200kph na kuna sababu kwanini wameweka limiter at 180
 
.....mazingira ya barabara za tz, muda mwingi ujasiri wa dereva ndiyo unaweza ukamfanya akawa mbane barabarani....
Sometimes usishangae ISt ikakuchapa na ikapotea..[emoji2960][emoji2960]
Mkuu

Hapo unenena

Juzi nimetoka mto wa mbu alfajiri ya saa tisa

Kunapambazuka nipo makanya mbele kidogo pale bwiko v8 bwege hii

Nikaichapa nilikuwa nateleza na 150kph

Ruminion[emoji41]

Ajabu leo tumekutana hapa mahali kumbe jamaa alikariri chombo

Sasa ndio ananiuliiza ilikuwa kuwaje[emoji1787]

Namchekii nakula safari mdogo mdogo

Yaani alikereka na anaomba ligi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu/Boss

Usikariri
Hii ndio v8 bwege[emoji1787]

Tuligumiana hapa
20220103_161455.jpg
 
Mkuu

Hapo unenena

Juzi nimetoka mto wa mbu alfajiri ya saa tisa

Kunapambazuka nipo makanya mbele kidogo pale bwiko v8 bwege hii

Nikaichapa nilikuwa nateleza na 150kph

Ruminion[emoji41]

Ajabu leo tumekutana hapa mahali kumbe jamaa alikariri chombo

Sasa ndio ananiuliiza ilikuwa kuwaje[emoji1787]

Namchekii nakula safari mdogo mdogo

Yaani alikereka na anaomba ligi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulikuwa unajikimbiza mwenyewe. Ndio nyinyi na IST unakuta mwenye Crown kaamua kutembea 120kph unajikamua unapita na 135koh halafu unaenda kujisifu nimeichapa Crown.
 
Anakiri hapa

Alikuwa anatembea 160kph

Nimegundua kwake kitu kimoja

Kwa maelezo yake

Muoga kuvuka malori sehemu zilizonyooka

Nakubaliana na wewe huenda muda mwingi alikuwa akitembea chini ya hapo
 
Kila mtu ana limit yake. Mtu anaweza kuwa na V8 lakini havuki 140kph sasa ukimpita huyo utasema uneichapa V8? Kuna V8 nilienda nayo nikapita na 160kph nikagindua huyu havuki mwendo huu sio kwamba gari yangu inakimbia kuliko hio V8
 
Mkuu

Hapo unenena

Juzi nimetoka mto wa mbu alfajiri ya saa tisa

Kunapambazuka nipo makanya mbele kidogo pale bwiko v8 bwege hii

Nikaichapa nilikuwa nateleza na 150kph

Ruminion[emoji41]

Ajabu leo tumekutana hapa mahali kumbe jamaa alikariri chombo

Sasa ndio ananiuliiza ilikuwa kuwaje[emoji1787]

Namchekii nakula safari mdogo mdogo

Yaani alikereka na anaomba ligi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi tu nicheke kama zombie..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
.kuna gari linaweza likakuoita ukajiuliza lina nini..
 
Kama ulitoka kwenye RAV4/Prado ukishika Crown utaiona inashika barabara. ILA kama umetoka kwenye BMW,Audi na wenzie ukishika Crown utaona inaelea tu barabarani.
Though I must admit the motor is superb just the limiter inazuia isifike over 200kph na kuna sababu kwanini wameweka limiter at 180
Nakubaliana na wewe mkuu, ila kwemye Crown,Fuga, Honda accord kama sikosei, Mjepu kajitahidi aisee....Ukikutana na matoleo ya Ulaya au America...ni kwikwi..[emoji4][emoji4]
 
Inabidi tu nicheke kama zombie..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
.kuna gari linaweza likakuoita ukajiuliza lina nini..
Kuna watu wana ujasiri sana wa kukimbiza magari.

Wakati narudi Dar, kuna Audi ilinipita kwa speed ya ajabu hata plate number sikuweza soma herufi hata 1.

Am sure yule jamaa alikuwa kwenye 240kph na kuendelea.
 
Back
Top Bottom