Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Crown GRS180
Dash ina mavichina china hapo, nikajua ni gari ya kichinese...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crown GRS180
Inanusa tu!View attachment 2066471
Dar-Arusha-Dar na misele ya Arusha nimetembea km 1310, nimetumia wese 340,000/-. Wakati wa kurudi nimekamua sana.
Average 10.6km/L
LHD labda nipewe zawadi...[emoji847][emoji847]..Unaweza chochora kwenye msitu ukifikiri unakwepa kumbe ndio unaipeleka [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji22][emoji22][emoji22]Mjepu mnamchukulia poa sana..??Jana ilikuwa siku nyingine ya kuwatesa waJapan huko barabarani.. Daaah hawa team Japan ukiwaona wanavyongea humu ndani hutaamini kinachowatokea huko barabarani..
Mbele ilitangulia BM nyuma akinifata Merce E Class.. tumewagalagaza mpaka aibu. Kuna mmiliki mmoja wa Vanguard alijifanya kufata nadhani somo alilipata fresh na kama alifika salama nyumbani kwake lazima atafanya maamuzi magumu ya kutoka kwenye usafiri wa Asia na kuamia gari za Mzungu..
Kwa jinsi nilivyokuwa natembea kurudi Dar, imejitahidi. Tulikuwa na ligi kadhaa. Nimeamini maneno yako kuvimba na V8! Several times I touched 180 maanake unamkuta mtu unataka kupita anavimba na Prado yake mpya, anashangaa ananyooshwa na kigari cha chiniInanusa tu!
Jana nilikuwa na Crown, nilikuwa mbabe mpaka ilipotokea C class moja,nafikiri ilikuwa C350 au zaidi sio kwa power Ile.Jana ilikuwa siku nyingine ya kuwatesa waJapan huko barabarani.. Daaah hawa team Japan ukiwaona wanavyongea humu ndani hutaamini kinachowatokea huko barabarani..
Mbele ilitangulia BM nyuma akinifata Merce E Class.. tumewagalagaza mpaka aibu. Kuna mmiliki mmoja wa Vanguard alijifanya kufata nadhani somo alilipata fresh na kama alifika salama nyumbani kwake lazima atafanya maamuzi magumu ya kutoka kwenye usafiri wa Asia na kuamia gari za Mzungu..
Mpaka utoe limiter,otherwise inabidi uwe mnyonge tu. Halafu advantage ingine ya Euro make mtu anaenda 190kph ni kama 60kph ila Japanese ukifika 150kph inaanza kuhisi danger kwahio hata ukitoa limit labda uwe chizi ndio utazidi 180[emoji22][emoji22][emoji22]Mjepu mnamchukulia poa sana..??
Zile limiter ndiyo kikwazo kikubwa....
Kwa mfano chukulia 2GR au VQ35, halafu ziwe limiter imechokonolewa...
Si mchezo...
Mjapan akifika 150 lazima mguu urudi kati labda kama we ni mvuta bange.. Mzungu 180 comfortability yake utafikiri uko 80 ya Mjapan..[emoji22][emoji22][emoji22]Mjepu mnamchukulia poa sana..??
Zile limiter ndiyo kikwazo kikubwa....
Kwa mfano chukulia 2GR au VQ35, halafu ziwe limiter imechokonolewa...
Si mchezo...
Hahahaha RR utafikiri nilikusoma kabla ya kuwema comment yangu. Mjapan ukifika 150 ni lazima mguu urudi kati unless uwe umeyatoa maisha yako sadaka na bange imetawala kichwani..Mpaka utoe limiter,otherwise inabidi uwe mnyonge tu. Halafu advantage ingine ya Euro make mtu anaenda 190kph ni kama 60kph ila Japanese ukifika 150kph inaanza kuhisi danger kwahio hata ukitoa limit labda uwe chizi ndio utazidi 180
Hahahaha we ulikuwa barabarani saa ngapi?? C Class ya Silver??Jana nilikuwa na Crown, nilikuwa mbabe mpaka ilipotokea C class moja,nafikiri ilikuwa C350 au zaidi sio kwa power Ile.
Amekariri huyo jamaa[emoji22][emoji22][emoji22]Mjepu mnamchukulia poa sana..??
Zile limiter ndiyo kikwazo kikubwa....
Kwa mfano chukulia 2GR au VQ35, halafu ziwe limiter imechokonolewa...
Si mchezo...
Hivi hii bado ipo?Marangu kinukamori WaterFallsView attachment 2065948
Ipo mzee.Hivi hii bado ipo?
Toka wakati nasoma nilikuwa naruka ruka huku.