Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mwingine anakuwashia indicator kabisa usimpite kwamba kuna gari inakuja, mimi napita na narudi mapema tu kabla huyo anayekuja hajafika.
 
Hiki chombo nilifika 160 km/h na sikukipata nahisi alikuwa zaidi ya hii 160,ila ajabu ni kama alikuwa na mchezo anawatangulia halafu mbele anaingia kushoto halafu anatokea tena nyuma na kutangulia.View attachment 2067526
Ntakubali gari yoyote inipite, sio subaru. Heri inipite IST nitakausha, sio Impreza / Forester.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…