Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa jinsi nilivyokuwa natembea kurudi Dar, imejitahidi. Tulikuwa na ligi kadhaa. Nimeamini maneno yako kuvimba na V8! Several times I touched 180 maanake unamkuta mtu unataka kupita anavimba na Prado yake mpya, anashangaa ananyooshwa na kigari cha chini
Mwingine anakuwashia indicator kabisa usimpite kwamba kuna gari inakuja, mimi napita na narudi mapema tu kabla huyo anayekuja hajafika.
 
Hiki chombo nilifika 160 km/h na sikukipata nahisi alikuwa zaidi ya hii 160,ila ajabu ni kama alikuwa na mchezo anawatangulia halafu mbele anaingia kushoto halafu anatokea tena nyuma na kutangulia.View attachment 2067526
Ntakubali gari yoyote inipite, sio subaru. Heri inipite IST nitakausha, sio Impreza / Forester.
 
Back
Top Bottom