Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Always... nawishi siku niwaalike wadau humu ambao si wenyeji Mola akipenda. Yaani wanafikia home. Kila kitu. Tunaamka na kuchoma nyama.. yaani holiday holiday kweli. Tunamarinate nyama na henney za kidimbwi kbs..[emoji6]
Duh nitakuwa wa kwanza kupokea mwaliko...my next road trip ni Kili marathon end of February
 
Dah....leo nimemuamsha "mnyama" toka bandani…...T *** AVX....katimiza miaka 12 mikononi mwangu.....msauz huyu hajawahi kuniangusha...kapita kusikopitika...….nampenda sana.....namfuta vumbi...natafuta ramani ya mwaka mpya ….. 🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…