Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaona na kusikia tunachotaka kuona na kusikia.Daah mie kwangu naona kichekesho kweli aiseeh.
Ila huyu Baba Taibali ukorofi tuu anataka watu wakiwa wanatamka jina lake waanze kuzungusha ulimi kama wanataka kunena kwa lugha looh 😅😅😂😂😂😂
Tunaona na kusikia tunachotaka kuona na kusikia.
Hao wanafanya makusudi tu
Ha ha ha umenikumbusha kuna mitaa nilipita nikakuta Baiskeli ina bei ghali kuliko BMW(used) ushamba ulinitoka kwa kweli!Hii baisekeli ni ghali kuliko gari la prondo, hivyo iko wazi kuwa siwezi kuwa nayo
Unajua imebidi nirudi kuangalia jina lake vzr[emoji28] i read it as PRONDO pia. Na siwezi pia. Anisamehe na aelewe nikimwita hivyoHata me muda muda kiasi nilikuwa naliona kama PRONDO. [emoji3]
Always... nawishi siku niwaalike wadau humu ambao si wenyeji Mola akipenda. Yaani wanafikia home. Kila kitu. Tunaamka na kuchoma nyama.. yaani holiday holiday kweli. Tunamarinate nyama na henney za kidimbwi kbs..[emoji6]Aah kaskazini Xmas inabamba.
Duh nitakuwa wa kwanza kupokea mwaliko...my next road trip ni Kili marathon end of FebruaryAlways... nawishi siku niwaalike wadau humu ambao si wenyeji Mola akipenda. Yaani wanafikia home. Kila kitu. Tunaamka na kuchoma nyama.. yaani holiday holiday kweli. Tunamarinate nyama na henney za kidimbwi kbs..[emoji6]
Hongera....mnyama wangu AVJ nilishamkata chuma chakavu!Dah....leo nimemuamsha "mnyama" toka bandani…...T *** AVX....katimiza miaka 12 mikononi mwangu.....msauz huyu hajawahi kuniangusha...kapita kusikopitika...….nampenda sana.....namfuta vumbi...natafuta ramani ya mwaka mpya ….. 🤭
Nitafurahi sana kuwakaribisha mkuu. Kwa huo muda kuwa huko kwangu kdg si rahisi. Pia hakubambi saaanaa. Labda huko moshi mjini ndo kunakua na hao wa MarathonDuh nitakuwa wa kwanza kupokea mwaliko...my next road trip ni Kili marathon end of February