Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Cheers 🥂.

Mengine sio bata ni majukumu tuu ya kulijenga Taifa 😊.
hata hivyo Hongera kwa picha zote, hapo kwenye Twiga nikajua ni Makuyuni Babati -Arusha
lkn ya pili km ni Msoga basi mizani wameiweka kule short cut ya kuunga Chalinze Segera
mm kweli mgeni Morogoro road sijakuta barabara nyembamba hivyo na kuna mizani
Thanx kwa picha murua
 
Kuendesha gari mkoa to mkoa wakati wa sikukuu hampati tabu za trafiki?
Sio kivile...from Dar to Arusha nimesimamishwa mara moja mbele ya Msata kabla ya Wami nilizidi 50kph kidogo nikasalimika bila faini.
From Arusha to Dar nimesimamishwa mara mbili (mistaken identity-speeding) walipojiridhisha wakaniachia.
Kwenye 50kph naenda 50kph, ikiachiwa namimi najiachia kweli kweli. Siovateki panaozuiwa naendesha by the book.
Kazi wale wanaokurupuka baada ya km kadhaa unakuta wamewekwa pembeni wanalimwa faini.
 
yaani unabidi uwe mpole hawa jamaa nao wanajifanya vichwa ngumu hawaelewi
mwanzo walikuwa wakikuta Faini imefika 60,000/ au faini 2 wanakushauri ulipe kwanza, lkn kwa sasa wanakung'uta tu jamaa yangu wamemtundika mfululizo ndani ya siku moja
 
Attachments

  • IMG-20201225-WA0057.jpg
    IMG-20201225-WA0057.jpg
    29 KB · Views: 4
yaani unabidi uwe mpole hawa jamaa nao wanajifanya vichwa ngumu hawaelewi
mwanzo walikuwa wakikuta Faini imefika 60,000/ au faini 2 wanakushauri ulipe kwanza, lkn kwa sasa wanakung'uta tu jamaa yangu wamemtundika mfululizo ndani ya siku moja
Aisee nimecheka kama mazuri! Ukiwa kichwa ngumu mfuko utaumia. Imagine upigwa fain 60,000/- mafuta ya 60,000 mengi sana
 
Kwanini unaita gari yako kimeo? Usiishushe thamani kiasi hicho.....

Niliitaga Simu niliyopewa na baba kimeo, nilimwambia mdogo wangu niwekee kimeo changu chaji. Baba akanisikia kilichofuata hapo ilikuwa ni risala fupi from there naheshimu kila ninachokimiliki no matter kina hali gani...
Kweli mkuu unaita kimeo huku wengine anaomba kila siku apate hata hicho kimeo
 
Sio kivile...from Dar to Arusha nimesimamishwa mara moja mbele ya Msata kabla ya Wami nilizidi 50kph kidogo nikasalimika bila faini.
From Arusha to Dar nimesimamishwa mara mbili (mistaken identity-speeding) walipojiridhisha wakaniachia.
Kwenye 50kph naenda 50kph, ikiachiwa namimi najiachia kweli kweli. Siovateki panaozuiwa naendesha by the book.
Kazi wale wanaokurupuka baada ya km kadhaa unakuta wamewekwa pembeni wanalimwa faini.
Dah!

Hiyo ya kufuatisha vibao na mistari ndio ishu kwa wengine, gari ishachanganya mara kibao cha 50 hiki hapa...

Safari ya masaa 6/7 unatumia masaa 10
 
Back
Top Bottom