Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

.....hapo kila mtu amejitahidi kupima mbavu za usafiri wake
 
.....hapo kila mtu amejitahidi kupima mbavu za usafiri wake
Mkuu, Jamaa wanakamua ni balaa. Tulikuwa kama watatu hivi tunakimbizana. Ikawa ni pita nikupite, na gari zote zinazokuja mbele yetu zimezuiliwa na malori yote yamepaki pembeni, it was like fast and furious. Ila jamaa wa Toyota Crown Athlete alikuja akatupita na hatukuweza kumwona tena mara tu alivotupita maeneo ya Msitu wa Mwidu.
 
Asante mkuu..[emoji120][emoji120]
Huwa najitahidi sana nisipate vyeti...miaka takrabani 8, hicho ni cheti cha 4..
Mwanangu unajitahidi sana kuheshimu sheria za barabarani! Miaka 8 vyeti vinne tu! Hiyo safi, hakuna haja ya kuwa na ugomvi na askari wa usalama barabarani. Mi pia napenda kutii sheria bila shuruti inanisaidia sana kupunguza gharama za safari bila sababu ya msingi
 
Hizi bahati mbona wengine hatuzipati 😂😂😂
Cc ISO M.CodD 9.8ms squared
 
Yani mpaka vidole vimetoka jasho hapa kuimagine tu situation hii!!!

Ndio uwe na 250+hp na 260km/h kwenye kisahani, Mungu akupe nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…