Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu nimesafiri salama kabisa. Nimefika Mida ya saa kumi na moja hivi. Kuanzia moro kwenda chalinze nilikuta msafara wa makamu wa rais, basi askari wakaturuhusu wenye magari madogo tutangulie. Magari makubwa yote yakazuiliwa na magari yote kutoka DSM kuelekea Morogoro yakazuiliwa. Basi tukajikuta barabarani tupo wenyewe tu na uelekeo ni mmoja na askari wanaelekeza kuwa tukimbie. Aisee nimekimbiza gari balaa, nimejikuta naenda hadi 170kph. Kuna mwamba ana Toyota crown athlete ametupita kama vile tumesimama. Na kuna jamaa ana raum nyekundu, aisee ameikomesha ile gari, alikuwa kama anapaa na vile tochi zote ziliondolewa
.....hapo kila mtu amejitahidi kupima mbavu za usafiri wake
 
Kijiweni [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
View attachment 2072087

Jambo 'afande' 😎

IMG_20220107_194236.jpg

-Kaveli-
 
.....hapo kila mtu amejitahidi kupima mbavu za usafiri wake
Mkuu, Jamaa wanakamua ni balaa. Tulikuwa kama watatu hivi tunakimbizana. Ikawa ni pita nikupite, na gari zote zinazokuja mbele yetu zimezuiliwa na malori yote yamepaki pembeni, it was like fast and furious. Ila jamaa wa Toyota Crown Athlete alikuja akatupita na hatukuweza kumwona tena mara tu alivotupita maeneo ya Msitu wa Mwidu.
 
Asante mkuu..[emoji120][emoji120]
Huwa najitahidi sana nisipate vyeti...miaka takrabani 8, hicho ni cheti cha 4..
Mwanangu unajitahidi sana kuheshimu sheria za barabarani! Miaka 8 vyeti vinne tu! Hiyo safi, hakuna haja ya kuwa na ugomvi na askari wa usalama barabarani. Mi pia napenda kutii sheria bila shuruti inanisaidia sana kupunguza gharama za safari bila sababu ya msingi
 
Wakuu nimesafiri salama kabisa. Nimefika Tanga Mida ya saa kumi na moja hivi. Kuanzia moro kwenda chalinze nilikuta msafara wa makamu wa rais, basi askari wakaturuhusu wenye magari madogo tutangulie. Magari makubwa yote yakazuiliwa na magari yote kutoka DSM kuelekea Morogoro yakazuiliwa. Basi tukajikuta barabarani tupo wenyewe tu na uelekeo ni mmoja na askari wanaelekeza kuwa tukimbie. Aisee nimekimbiza gari balaa, nimejikuta naenda hadi 170kph. Kuna mwamba ana Toyota crown athlete ametupita kama vile tumesimama. Na kuna jamaa ana raum nyekundu, aisee ameikomesha ile gari, alikuwa kama anapaa na vile tochi zote ziliondolewa
Hizi bahati mbona wengine hatuzipati 😂😂😂
Cc ISO M.CodD 9.8ms squared
 
Wakuu nimesafiri salama kabisa. Nimefika Tanga Mida ya saa kumi na moja hivi. Kuanzia moro kwenda chalinze nilikuta msafara wa makamu wa rais, basi askari wakaturuhusu wenye magari madogo tutangulie. Magari makubwa yote yakazuiliwa na magari yote kutoka DSM kuelekea Morogoro yakazuiliwa. Basi tukajikuta barabarani tupo wenyewe tu na uelekeo ni mmoja na askari wanaelekeza kuwa tukimbie. Aisee nimekimbiza gari balaa, nimejikuta naenda hadi 170kph. Kuna mwamba ana Toyota crown athlete ametupita kama vile tumesimama. Na kuna jamaa ana raum nyekundu, aisee ameikomesha ile gari, alikuwa kama anapaa na vile tochi zote ziliondolewa
Yani mpaka vidole vimetoka jasho hapa kuimagine tu situation hii!!!

Ndio uwe na 250+hp na 260km/h kwenye kisahani, Mungu akupe nini tena?
 
Back
Top Bottom