Mkuu kwa huyu dereva unamuonea. Nilikua eneo la tukio, hilo basi ndio lenye kosa hapo maana cruiser ilikua ishamaliza daraja kabisa basi likakosa breki likaingia darajani likamfumua.Madereva wa serikali sometimes mnaboa sana..[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 2074989
Duh hakuna aliyeumia lakini?Mkuu kwa huyu dereva unamuonea. Nilikua eneo la tukio, hilo basi ndio lenye kosa hapo maana cruiser ilikua ishamaliza daraja kabisa basi likakosa breki likaingia darajani likamfumua.
Walitoka salama kabisa mkuu. Mshituko tuDuh hakuna aliyeumia lakini?
Haha mbona na wewe unakuwa kama Saint Anne sasa? [emoji16][emoji16]Njoo unitembelee
Kwani ukija huku shamba utapungukiwa nini? Tunakuza unduguHaha mbona na wewe unakuwa kama Saint Anne sasa? [emoji16][emoji16]
Mjini si huwa unakuwepo lakini? [emoji1][emoji1]
Linaitwaje MkuuBMW wametuletea gari linabadilika rangi with a single touch.
Na nasubiri uniruke mimi uende kwa RRONDO na wakati kwangu nimekukaribisha tangu mwaka jana.Haha mbona na wewe unakuwa kama Saint Anne sasa? [emoji16][emoji16]
Mjini si huwa unakuwepo lakini? [emoji1][emoji1]
Tuweni serious. Hapa unaanza kujiuliza ulikata bima comprehensive au third partyDuuh mbona mimi sijawahi kukuta foleni ya kukaa muda wote huo? Basi itakuwa kweli nalioteaga tu!
Ni kama mimi ninavyowashangaa wanaoiotea njia ya daraja ikiwa haina foleni. Mimi lazima nikute foleni ya malori asee.
Maana mie nilishawahi kuspend more than two hours kwenye barabara inayoenda kwenye lile daraja daah sina hamu tena.
Added valueNa nasubiri uniruke mimi uende kwa RRONDO na wakati kwangu nimekukaribisha tangu mwaka jana.
Sawa mkuu...mara chache sana hawa madereva wa Serikali wanakuwa hawana hatia..kama hiyo scenario ulivyoielezea...Mkuu kwa huyu dereva unamuonea. Nilikua eneo la tukio, hilo basi ndio lenye kosa hapo maana cruiser ilikua ishamaliza daraja kabisa basi likakosa breki likaingia darajani likamfumua.
Hehe hee[emoji851][emoji83][emoji83][emoji81][emoji81]Tuweni serious. Hapa unaanza kujiuliza ulikata bima comprehensive au third party
View attachment 2076032
Haha njoo basi wewe unitembelee. Mie home Geza ya Mbweni.Kwani ukija huku shamba utapungukiwa nini? Tunakuza undugu
Bora kwa RRONDO naweza nikaenda maana Kigamboni huwa naenda mara kwa mara. Ila huko Kinyerezi na Mbezi mweee.Na nasubiri uniruke mimi uende kwa RRONDO na wakati kwangu nimekukaribisha tangu mwaka jana.
NotedHaha njoo basi wewe unitembelee. Mie home Geza ya Mbweni.
Duuh hilo MV Kigamboni silioteagi kulipanda. Mara nyingi mie nayakutaga MV Magogoni na MV Kazi, hilo linaonekana bovu tayari lishachoka sema kuna siku wanalilazimisha tu, hayo mengine mawili mbona yanapiga kazi fresh tu.Tuweni serious. Hapa unaanza kujiuliza ulikata bima comprehensive au third party
View attachment 2076032
Teh na ukijaribu kupiga mbizi kulizuia propeller linakuvuta linakukatakata tunavua mishikaki [emoji51][emoji51]Hehe hee[emoji851][emoji83][emoji83][emoji81][emoji81]
Hapo utatamani upige mbizi uzuie panton lisizame
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teh na ukijaribu kupiga mbizi kulizuia propeller linakuvuta linakukatakata tunavua mishikaki [emoji51][emoji51]