ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kwanini mtu anaacha risiti, hasa kubwa kubwa sheli? Watu hawapigi hesabu?Hahah!
Sema huwa mnajua kujiongeza..mtu anakuja kuweka ya bei ndogo halafu anaomba risiti ya bei kubwa aende nayo kumpiga mtu cha juu.
Wa hivi hawanaga shida,akija ni stori mnacheka kwa kwenda mbele,huku mkimtafutia risiti ya hela kubwa kwenye kapu la taka.