Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sasa yule mteja alitoa elfu 10 ,kumbe ametamka awekewe ya elfu 5 wakati pump attendant ashaondoka kwenda kufungua gari....si akawekewa yote ya elfu 10!Alooo hapakutosha pale sheli😂😂😂😂😂😂😂.,akaanza kudai elfu 5 yake huku akitoa matusi yote.
Wanaume tafuteni hela jamani.
Sisi wazee wa bro niazime gari nitaweka mafuta unatusagia kunguni. Tunaweka ya elfu Tano Ili taa isiwake tunaporudisha gari 😂😂😂
 
Sisi wazee wa bro niazime gari nitaweka mafuta unatusagia kunguni. Tunaweka ya elfu Tano Ili taa isiwake tunaporudisha gari [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah!
Sema huwa mnajua kujiongeza..mtu anakuja kuweka ya bei ndogo halafu anaomba risiti ya bei kubwa aende nayo kumpiga mtu cha juu.
Wa hivi hawanaga shida,akija ni stori mnacheka kwa kwenda mbele,huku mkimtafutia risiti ya hela kubwa kwenye kapu la taka.
 
Siyo hatuna upendo tatizo foleni za hilo jiji. Zamani wakati bado kula kulala nilikuwa na muda wa kufunga safari from Tegeta to Tabata ili tu nikatafute kijiwe kipya cha kula na kunywa nilikuwa siwazi kuhusu foleni maana sina pa kuwahi.

......

Tangu maisha yawe magumu huo utoto nimeacha asee kwenda sehemu ni hadi kuwe na jambo la msingi la kunipeleka. Nikimaliza kilichonipeleka ndiyo nitaangalia kama kuna kijiwe kizuri ila siyo nikifungie safari toka huko daah uongo.

......

Basi mimi huwezi amini ile njia ya darajani nayo nina zaidi ya mwaka sijaipita na siipendi sababu iko mbali kwangu ni kama nazunguka. Mixer foleni za ile misemi inayotoka na kuingia bandarini aahh mie ni mwendo wa pantoni tu shwaaa tayari.
Nitakuja mimi kukusalimia
 
Mjini mipango Dada, nipe location mwezi ujao nitakuwa napita kununua petrol ya elfu 5. Kwenye kidumu Cha Lita 5 ya boti.
 
Maana viongozi wanakaa wanawashangaa vijana ambao hatuna ajira..wanasema jiajirini ila mitaji hakuna na wanasema hakuna hela za kutosha kuwapa mitaji.
Kuna mdau[emoji23]akasema kama vipi watukusanye tu watupige mnada nchi za nje kama mbolea.
"Hii nchi bhana wanaowaambia vijana wajiajiri nao wameajiriwa hawataki kuachia ngazi na bado wanawachomeka watoto wao na ndugu zao kwenye system". Alisikika kijana mmoja jobless asiye na mtaji.
 
Wanapigana vijembe usiku na mchana wanatafutana kisa uongozi,ila wanasema vijana jiajirini.
"Ni maneno ya kajobless kamoja hivi baada ya kunyooshwa na kitaa😂😂😂"
 
Hahah!
Sema huwa mnajua kujiongeza..mtu anakuja kuweka ya bei ndogo halafu anaomba risiti ya bei kubwa aende nayo kumpiga mtu cha juu.
Wa hivi hawanaga shida,akija ni stori mnacheka kwa kwenda mbele,huku mkimtafutia risiti ya hela kubwa kwenye kapu la taka.
Na nyie huwa mnauza risiti. Mara nyingi huwa wananiomba risiti zangu za full tank! Nawaambia gari ya Muhindi lazima niipeleke hii.
 
Siyo hatuna upendo tatizo foleni za hilo jiji. Zamani wakati bado kula kulala nilikuwa na muda wa kufunga safari from Tegeta to Tabata ili tu nikatafute kijiwe kipya cha kula na kunywa nilikuwa siwazi kuhusu foleni maana sina pa kuwahi.

......

Tangu maisha yawe magumu huo utoto nimeacha asee kwenda sehemu ni hadi kuwe na jambo la msingi la kunipeleka. Nikimaliza kilichonipeleka ndiyo nitaangalia kama kuna kijiwe kizuri ila siyo nikifungie safari toka huko daah uongo.

......

Basi mimi huwezi amini ile njia ya darajani nayo nina zaidi ya mwaka sijaipita na siipendi sababu iko mbali kwangu ni kama nazunguka. Mixer foleni za ile misemi inayotoka na kuingia bandarini aahh mie ni mwendo wa pantoni tu shwaaa tayari.
Pantoni hili hili na mateso yake yote?

Jana jioni nimetoka kugeuza pale chuo cha ustawi maana foleni ya pantoni ilifika kule, nikageuka mpaka darajani na nikafika muda sawa na aliyevuka kwa miguu

Mwezi uliopita nilispend 2 hours kuvuka pale na pantoni

Labda wewe unaliotea mida yake unavuka shwaap, ila mimi kwangu limelaanika lile dude
 
Back
Top Bottom