Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Ndo nataka nikapachunguze kama ndo huko.15 k kwa 1m²??
Ngoja nikatafute huko kiwanja..hata kama kuna maji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nataka nikapachunguze kama ndo huko.15 k kwa 1m²??
Ngoja nikatafute huko kiwanja..hata kama kuna maji.
Mimi yoyote yale siwezi zamisha mwili wangu kuogelea aisee!😅😅😅😅😅😅😅 maji ya pool sawa ila sio baharini
Hahahhaaha utaogerea tuMimi yoyote yale siwezi zamisha mwili wangu kuogelea aisee!
Ukifanikiwa naomba feedback mkuu🙏Ntaenda kuangalia kama ni kuzuri nachukua kimoja chap. Nimeambiwa ni 1.5 km toka baharini.
Crown imeua nyati...????
na kitimoto ka yoteee,Acha tu Tabata bar zipo mpaka mkabala na jeshi kabisa😂 ushindwe wewe tu! Nyomi la hatari
ilikuwa inapaa maana si speed alokuwa nayoCrown imeua nyati...????
Duuuh, huyo speed zake hatari
Jamaa wataona mazigaombwe..mwishowe wakimbie.Ukipigwa tochi gari nyeupe, ukifika mbele gari ishabadilika kuwa nyeusi.
Unawaacha na maswali.
Eeh kitimoto ya kushatona kitimoto ka yoteee,
Hivi Tabata ni kubwa??Eeh kitimoto ya kushato
Tabata kubwa sana 😅 ina majimbo karibia matano!Hivi Tabata ni kubwa??
Nimeagizwa huko Tabata,sielewi hata ipo upande gani🤣
Yesu wangu.Tabata kubwa sana 😅
Inategemea unaenda Tabata ipi sasa! We umetumwa wapi?Yesu wangu.
Hivi nikiwa natokea posta,nataka kufika tabata,,napanda gari za wapi?
Aliyenituma hata yeye haelewi😂😂😂😂anasema tu Tabata.Inategemea unaenda Tabata ipi sasa! We umetumwa wapi?
Basi we panda la Tabata Kimanga ukifika ntakuelekeza nilipo wakati tunasuburia maelekezo kutoka juu huko!Aliyenituma hata yeye haelewi😂😂😂😂
Yupo mbeya huko.
😂😂😂😂😂😂😂😂Basi we panda la Tabata Kimanga ukifika ntakuelekeza nilipo wakati tunasuburia maelekezo kutoka juu huko!
Mkuu naomba unicheck dm🙏Ndo nataka nikapachunguze kama ndo huko.
Oh sawa🙏Maeneo ya wazawa ndio jina sahihi.