Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwamba unaniona mi mtoto mwenzio [emoji3][emoji3]
Dah sijawahi kutukanwa tusi kubwa namna hii! Ila kwakuwa nimempokea Kristo wacha ninyamaze kwa leo!😅

Hio miili inawadanganya sana jamani wengine hatujakulia mboga 8! Nikikuonesha kijana anaenisalimia kila asubuhi akienda skuli unaweza kubaki taya wazi.
 
Tunaonaga tu lile bango la ban.
Kwanza mimi nakuonaga tu unavyoifuata ban.
Watu wanantafutia Ban tu wala mie sina baya😅 inapotokea mtu anaongea upuuzi mbele yangu inanipa ukakasi!

Ni sawa na mtu anaesema rangi ya school bus ni nyeusi na kutetea uongo huo kwa nguvu mbele ya halaiki ya watu wanaoona ni rangi ya njano. Huwa sina la ziada zaidi ya kulimwa ban tu maana huwa ntamwambia asichopenda kusikia.
 
Mimi huwa nikiona nacheeka,najua tu kinachokufuata ni ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…