Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kwamba unaniona mi mtoto mwenzio [emoji3][emoji3]Ukuaji tu utafikia mahali utapoa sana[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba unaniona mi mtoto mwenzio [emoji3][emoji3]Ukuaji tu utafikia mahali utapoa sana[emoji28]
Awape nao wampe mboga yake[emoji39][emoji23][emoji23]Inabidi tupunguze u serious kidogo..
Kuna jamaa kaua nyati wawili huko Mikumi leo,wanamdai Million 9 naskia..
Tunaonaga tu lile bango la ban.Hahahahah ina maana mie ni Ban Oriented
Kwahiyo unataka kusemaje?😁Ukiwa maarufu humu ni rahisi watu ku notice haupo
Dah sijawahi kutukanwa tusi kubwa namna hii! Ila kwakuwa nimempokea Kristo wacha ninyamaze kwa leo!😅Kwamba unaniona mi mtoto mwenzio [emoji3][emoji3]
Eeeeh!!Kwa kifupi, huyu jamaa angegonga mtu hapo Morogoro mjini angepigwa faini 30,000 ILA nyati 9m, twiga 35m
Watu wanantafutia Ban tu wala mie sina baya😅 inapotokea mtu anaongea upuuzi mbele yangu inanipa ukakasi!Tunaonaga tu lile bango la ban.
Kwanza mimi nakuonaga tu unavyoifuata ban.
Mimi huwa nikiona nacheeka,najua tu kinachokufuata ni banWatu wanantafutia Ban tu wala mie sina baya😅 inapotokea mtu anaongea upuuzi mbele yangu inanipa ukakasi!
Ni sawa na mtu anaesema rangi ya school bus ni nyeusi na kutetea uongo huo kwa nguvu mbele ya halaiki ya watu wanaoona ni rangi ya njano. Huwa sina la ziada zaidi ya kulimwa ban tu maana huwa ntamwambia asichopenda kusikia.
Amegonga mboga tamu sana kupata kutokea😅Kwa kifupi, huyu jamaa angegonga mtu hapo Morogoro mjini angepigwa faini 30,000 ILA nyati 9m, twiga 35m
Dar sehemu nyingi hata unazozisikia za kishua huwa hazikosi uswahilini ambako mara nyingi makazi yanakuwa ni yale ya zamani kabla eneo halijawa potential na watu kuanza kujenga nyumba nzuri. Mbweni uswahilini kwetu ni Geza Ulole.Kumbe nako kuna maeneo ya uswahilini!
Kwahio majina yooote mkaamua kuita uswazi yenu Geza!Dar sehemu nyingi hata unazozisikia za kishua huwa hazikosi uswahilini ambako mara nyingi makazi yanakuwa ni yale ya zamani kabla eneo halijawa potential na watu kuanza kujenga nyumba nzuri. Mbweni uswahilini kwetu ni Geza Ulole.
Hahahahah inatakiwa ikaushwe ndio inakuwa mwake😅pole sana mzee kwa kupewa leseni ya kuendesha Gari aina ya Toyota ToiletHii kitu niliwahi kula,kumbe ilichelewa kufika mjini haikuwa nzuri! Niliendesha mzigo wa kijani utafikiri mimi nilikula nyasi na si nyama ya nyati!
Hahahahah na Mpiji paitweje?.😅Dar sehemu nyingi hata unazozisikia za kishua huwa hazikosi uswahilini ambako mara nyingi makazi yanakuwa ni yale ya zamani kabla eneo halijawa potential na watu kuanza kujenga nyumba nzuri. Mbweni uswahilini kwetu ni Geza Ulole.
Obay,Masaki,Upanga hazina uswazi.Dar sehemu nyingi hata unazozisikia za kishua huwa hazikosi uswahilini ambako mara nyingi makazi yanakuwa ni yale ya zamani kabla eneo halijawa potential na watu kuanza kujenga nyumba nzuri. Mbweni uswahilini kwetu ni Geza Ulole.
Kwa hiyo huko ulole ni kama mabatini mabatini kimbeyambeya?Dar sehemu nyingi hata unazozisikia za kishua huwa hazikosi uswahilini ambako mara nyingi makazi yanakuwa ni yale ya zamani kabla eneo halijawa potential na watu kuanza kujenga nyumba nzuri. Mbweni uswahilini kwetu ni Geza Ulole.
Nachojua tu Mikocheni ipo ya uswahilini😅Obay,Masaki,Upanga hazina uswazi.