Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ahaa hapo umenifungua sasa, kwahio kuanzia Chole road ndio Masaki inapoanza?

Kushoto unaitafta Engen kulia unaitafuta coloseum mpaka IST kule?
Kilima nanihii ndio mpaka wa Masaki na Oysterbay. Huku Ukitoka Capetown fish market mbele pale kidogo kuna mbuyu ndio mpaka wa Masaki na Msasani. Obay na Msasani zinatenganishwa na barabara moja inaanzia hapa Don Bosco mbuyuni inashuka Hadi hapo niliposema mpaka wa Masaki na Msasani.
Yani ukivuka hio barabara kunaanza uswazi ya maana Namanga bondeni
 
Tabata kubwa sana [emoji28] ina majimbo karibia matano!

Kimanga, Chang’ombe, Segerea, Kisukuru, Kinyerezi.
Hivi na zile Tabata nyingine kama Relini, Azimio, Bima, Mawenzi, Magengeni, Liwiti nk. ni mitaa au nini

By the way utoto wangu nimeishi Azimio, Bima, Magengeni na Kinyerezi huwa naimiss sana Tabata sema daah.
 
Sijawahi kuona popote,zaidi ya uzi fulani wa jamaa fulani anaitwa Nondo..aliandika uzi humu wa kumaliza chuo..
Ukamjibu kwahiyo tufanyeje?😂😁😂🙌
Mtu akiniletea za kuleta nampa maneno magumu. Ila sio gazeti mstari mmoja Tu na maneno ambayo hata mod hawezi kunipigia ban 😂😂😂
 
Wacha nikatafute hicho kilima nanihino nikijue😅
 
Hivi na zile Tabata nyingine kama Relini, Azimio, Bima, Mawenzi, Magengeni, Liwiti nk. ni mitaa au nini

By the way utoto wangu nimeishi Azimio, Bima, Magengeni na Kinyerezi huwa naimiss sana Tabata sema daah.
Ile ni vituo tu vya daladala! Tena vimefatana maana ni kama vitongoji tu au streets.

Dah, karibu sana uje mitaa ya huku.
 
Mtu akiniletea za kuleta nampa maneno magumu. Ila sio gazeti mstari mmoja Tu na maneno ambayo hata mod hawezi kunipigia ban 😂😂😂
😂😂😂
Ulimkazia yule dogo🤣.
Unasema 'kwahiyo kila mtu aliyemaliza chuo akileta uzi,si jf itajaa'



Comment nyingine ipo kwenye huu uzi kule juu,
Kuna jamaa alicomment " wewe ni mhaya?"
Ukasema "Ndiyo"
Nilitaka kuzimia kwa kicheko.


Ila RRONDO una vimaneno vyako flani hivi😂,
 
Tatizo wengine mmekaa kijeshi sana,hadi mtu kuwachekea anaogopa[emoji16].
JItahidi basi msiwe serious mno ili watu wawachekee na wawaulizie[emoji13]
Yes kama mimi mwanzo nilivyokuwaga nabishana kwenye lile jukwaa letu. Watu wengi walidhaniaga mie kauzu sizoeleki ila baadhi walivyonifahamu wakabaki tu "wewe mbona hufananii na yale unayoyaandika kule" nawaambiaga wakati mwingine tunachangamshaga genge tu sema watu wanacatch feelings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…