Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Halafu huwezi amini sijawahi kukufuma unatukanana na mtu humu jukwaani yale matusi ya nguoni kabisa kama wengi. Kwahiyo nashangaaga ni matusi gani hayo hadi unafungwa jela.
Ha ha kuna kejeli za reja reja tu😅 ila huwa zinachoma sana! Huwa nampa mtu anayejifanya chizi wakati yu hali timilifu!

Huwa sio matusi ya nguoni in such😎
 
1641899744260.png
1641899744260.png
1641899744260.png
 
Hahaaa kwani unafikiri hata mimi nina mwili sana basi mie kafupi kanene. Na kuna watu wananidharaugi wanajuaga mie dogo kumbe kamtu kazima.

Mie kwangu salamu siyo dili hasa shkamoo, mdogo wangu wa mwisho kila tukionana ananisalimiaga shkamoo huwa sijibu marahaba na hajawahi kuacha. Ndiyo kwanza ananiulizaga hivi kwanini hupendi kujibu shkamoo akinisalimia shkamoo huwa najibu "vipi mzima dogo".
Kukupa shkamoo mtoto mwenzie wa miaka 20 ni haki yako kutokujibu.
 
Halafu huwezi amini sijawahi kukufuma unatukanana na mtu humu jukwaani yale matusi ya nguoni kabisa kama wengi. Kwahiyo nashangaaga ni matusi gani hayo hadi unafungwa jela.
Basi hujamkuta kwenye anga zake.
Ana matusi huyo acha kabisa.
Walishaogeshanaga na yule iceberg,,jamaa wote wawili ni maexpert🤣

Mimi hadi kule MMU nikiona tu ameanza kupata moto kichwani basi namswitch off kwa kuadjust tu comments,natembea na beat lake anavyotaka.
 
Nilikua natoka Dom - Arusha.
Kufika makuyumi huwa Kuna kizuizi usiku kwajili ya magari makubwa kukaguliwa, gari ndogo zina pita.

Baada ya kizuizi kuna mizani hivyo magari makubwa yakitoka kukaguliwa huingia mizani alafu yanaendelea mbele uelekeo wa Arusha.

Kumbe kuna gari kubwa moja walipita pale kwenye kizuizi kimagumashi Kwa kutoa ela ya kiwi kwasababu gari Lao bovu sanaa.

Ghafla nikalikuta halina taa hata moja, halina reflector na linatoa Moshi mwingi Sana wakati huo chombo imesha kubali gear na upande wapili kuna chombo ingine iko mafuta Sana.

Option niliyo Kua Nazo za haraka ni kuigonga Kwa nyuma Ile gari mbovu, kuigonga Uso Kwa uso Ile gari ilyo Kua inatoka Arusha au kulimwaga porini.

Mind you hapo barabara iko juu porini ni chini na kuna wanyama.

Basi nikalitupa huko porini likapinduka mara mbili lakini kabla nilisha hangaika na brakes gari ikawa ina sota Tu it was too late.

Alipo kuja mkuu wa kituo pale makuyumi aliwasema Sana wale police kwanini alishindwa kuifwata Ile gari kubwa kumbe washa Kula Chao.

Msaada mkubwa ulitoka Kwa maderava wa magari makubwa. Hawa WA gari ndo walikua wanapita shwaaaa shwaaaaaaa shwaaaaa

Ilikua hivyo.
Pole sana, hii ndio sababu sipendi kuendesha usiku. Kingine mtu akiwa anaendesha na mbele kuna lori au gari lolote anachochea tu ili alipite bila kujua kuwa unapoikaribia ile gari na mwendo wako mkubwa mbele inaweza kutokea gari ingine ushindwe kupita utaingia nyuma ya lori au porini.
Ni kweli kabisa watu wa malori ni watu wanajitoa sana kwenye majanga. Sisi wa magari madogo tunajiona tuna haraka zetu bila kujua kilomita chache mbele unaweza kuwa wewe unaehitaji msaada.
 
Yes kama mimi mwanzo nilivyokuwaga nabishana kwenye lile jukwaa letu. Watu wengi walidhaniaga mie kauzu sizoeleki ila baadhi walivyonifahamu wakabaki tu "wewe mbona hufananii na yale unayoyaandika kule" nawaambiaga wakati mwingine tunachangamshaga genge tu sema watu wanacatch feelings.
Ilikuwa bado kidogo zipigwe sema ukabadili ID 😅
 
Pole sana, hii ndio sababu sipendi kuendesha usiku. Kingine mtu akiwa anaendesha na mbele kuna lori au gari lolote anachochea tu ili alipite bila kujua kuwa unapoikaribia ile gari na mwendo wako mkubwa mbele inaweza kutokea gari ingine ushindwe kupita utaingia nyuma ya lori au porini.
Ni kweli kabisa watu wa malori ni watu wanajitoa sana kwenye majanga. Sisi wa magari madogo tunajiona tuna haraka zetu bila kujua kilomita chache mbele unaweza kuwa wewe unaehitaji msaada.
Hahahah hio Mistake huwa naepuka sana yani ku overtake kiboya bila kuona mbali, uupate mnyooko kama Wa Ruvu ule hapo naweza chomoa maana barabara ni tambarare nafasi ipo 😅😅😅

Ila unakuta usiku mkali eti mtu anatanua kilima cha wami kile huku anapush ki Vits cha 1.0L 😅😅😅unajiuliza huyu zimo kweli? Anakomaa akate Semi 3 matokeo yake anaminywa tu na Scania au Fuso ilioiva!
 
Back
Top Bottom